masudi khalid zembwela akiwa na mai waifu wake zabibu kumbwaya baada ya kumeremeta jijini Dar. Bw. harusi ni mbunifu wa nywele (hair designer) mwenye barber shop yake mwananyamala kwa kopa na Bi. Harusi ndio kwanza katoka kula Nondozzzz
masudi akimvisha pete zabibu
maharusi wakijidai na wapambe wao
champeni lililipuliwa
wazaa chema Khalid Bitebo Zembwela (shoto) na Mzee Kumbwaya wakipongezana
keki ya harusi.
keki ikikatwa
baba mdogo wa bwana harusi na hair designer namba wani dunia nzima abdallah Bitebo akitambulishwa.
baba mdogo wa bwana harusi Tahir Bitebo a.k.a John Mananihiii...









Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 27 mpaka sasa

  1. hongereni sana mmependeza na sasa sio wawili tena bali mko mwili mmoja BWANA awabariki sana mdumu hivyo hivyo katika maisha yenu kama ADAMU NA HAWA

    ReplyDelete
  2. Atarudi Tu. MZ

    ReplyDelete
  3. Asii bwan machudo,akianano unimelimeti!! na nkeo pia anamelimeti!! asii mboni sioni hapu pilao?mi nimizoei pombi aini ya chang'aa sas wewi unamwagichini pombi yot"shampini" unintamanish bure!hap nshalewi tialo kwa pich
    acha nkuimbie songi bab yao "anipendi vito vya bei ghalo am ajui atmi sina maloo!anniombi vito vya bei ghalo, nikiwi sin ye anijaloo!"
    nakufaglii bab umepati jiko la nkaa kabis!! unantii ham namim ntaoa akianano!!

    ReplyDelete
  4. Jamaniiii, kulikoni hio keki? man u hadi kwenye harusi yenu?

    ReplyDelete
  5. Bitebo - winga machachari wa Pamba? Years have gone by!

    ReplyDelete
  6. Keki imeandikwa Manchester Utd? du! Huu ni ushabiki uliopitiliza... raha

    ReplyDelete
  7. Harusi hii imefungiwa wapi?

    ReplyDelete
  8. Mumependeza, hair dresser nambari wani duniani anapatikana wapi?

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  9. hiyo ni veil au costume?

    ReplyDelete
  10. Ukoo mzima vinyozi??

    ReplyDelete
  11. Hongereni, nyie kweli washabiki damu wa ManU au ni wajukuu wa Fergie.

    ReplyDelete
  12. Aliyesema "( UKOO MZIMA VINYOZI)" je hiyo sio kaziiiii!!!!, tabia ya kudharau kipato cha watu wengine sio nzuri au kudharau familia za watu. wewe unajiamini lakini mungu akipenda utashuka tuuu ***ACHA MAJIVUNO NA DHARAU**** kila mtu anapenda utajiri na familia iwe tajiri ila yote ni kwa mapenzi ya mungu.

    Kama kuhangaika na kazi na maisha tuu ndio kuwa tajiri basi kila mtu angekuwa tajiri. LAKINI TWAJUA MOLA NAE ANA NAFASI YAKE.

    USIDHARAU FAMILIA ZA WATU

    ReplyDelete
  13. si umalizie John mapenzi kwanini unasema John mananihii...

    ReplyDelete
  14. jamani sasa kama je biharusi ni mshabiki wa bwawa la maini huyu bwana si atakuwa hajamtendea haki mwenzie, au ndio mkioana manakuwa mwili mmoja na kila kitu sare!

    ReplyDelete
  15. kala nondozzz za nini,,,usilete habari nusu nusu sema nondo yake ipi na kailia wapi??

    mh keki ya ushabiki?ningekuwa b harusi ningekataa kabisaaaaa!km wote ni washabiki poa

    ReplyDelete
  16. 08:40:00 AM umenena safi sana

    me sikumuelewa kabisa uyo annon anayeshangaa kazi za wengine tena za HALALI km kinyozi
    awa ndo wale wanaobeba madawa ya kulevya yanayoua watu,,,ndo box zao izo kumbe uko ulaya sijui,,,

    heshimuni kazi za watu nyamabaf sana

    ReplyDelete
  17. hongereni saana kwa arusi yenu nzuri saaaana hiyo keki ni bab kuuubwa inanipa full hamasa jana weee sansiroo palichimbika!!!

    ReplyDelete
  18. maharusi mmependeza sana - hongereni.

    ReplyDelete
  19. Nyie mnaomshutumu alieuliza kuwa ukoo mzima vinyozi, ndio mna mawazo finyu!!Nyie ndio mnaoona vinyozi ni kazi duni.
    Wangekuwa woote ni mADACTARI angeweza uliza au vilevile!!
    Wapi mmeona katoa comments za dharau?nyie kwa kushangaa kwenu ndio mnadharau hiyo kazi sasa.
    Kuna mtu aliwahi uliza humu akina MICHUZI wote ni wapiga picha?
    Kwa nini hamkushangaa swali lile?Acheni ujinga!!
    Issa hata usipotoa hii comments, lakini ujumbe umefika.

    ReplyDelete
  20. Da! Michuzi umenikumbusha mbali bwana we..kunionyesha mzee mzima(Zembwera) mzee wa mzuzu ! mambo safi jamaa naona bado anaita siyo kama wachezaji wengine wamechoka ile mbaya...
    zembwera ilikuwa ni tishio pale kirumba .......
    maisha marefu nakutakia..

    ReplyDelete
  21. Doh huyu mzee mwenye kibaraka shehe kanimaliza kweli kweli au na yeye anamfata Nabii mpya YUDA? MAANA SIJIDA KUBWA KIKOFIA NA POMBE TENA? HUYU LAZIMA NI MFUASI WA NABII MPYA WA BONGO MAANA NABII YUDA NA YEYE ALIKUA AKIPIGA BANGI KAMA KAWAIDA NA KUTANGAZA POMBE SI HARAMU

    ReplyDelete
  22. Mbona mmetunyima picha za kanisani Jamani?

    ReplyDelete
  23. jamani naombeni msaada KUMBWAYA NI YULE WA KIBAMBA GOGONI AU MWINGINE? naomba anayejua anipe jibu please. mdau London.

    ReplyDelete
  24. Hongera bwana Masud, long time man (enzi za Taqwa). Nakutakia maisha marefu.
    Arnold

    ReplyDelete
  25. Tatizo waswahili hamjui maana ya Nembo ya Kuuliza hajasema kwamba watu wenyewe wote vinyozi. KAULIZA swali Familia Wote Vinyozi? Jibu Si Wote au Asilimiak ubwa ndio ni Vinyozi hakusema kama kazi mbaya au nzuri.

    ReplyDelete
  26. Mdau wa London hujakosea MZEE KUMBWAYA NI YULE WA KIBAMBA GOGONI, binti yake Zabibu ndo ameolewa na Kaka Masoud Bitebo.

    ReplyDelete
  27. Hongera sana Masud,tumesoma wote Nyamagana enzi za mwalimu Pascal,Seif yuko wapi siku hizi?au ndo huyo aliekuwa best man?ni zaidi ya miaka 15 sasa sura yake inakuja kichwani kwangu na kupotea,hongera sana kaka,Rehema Kilele.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...