Salaam bro,
Lile shindano la short-film la BBC World Service uliloweka kwenye blog yako, tayari nimeshachangamkia nafasi kwa kutuma kazi yangu na wameshaiweka kwenye website yao hii hapa
http://www.bbc.co.uk/worldservice/arts/2010/

02/100212_tanzania_myworld_2.shtml
Watazania wengine wajitokeze pia kutuma kazi zao.
Ibrahim Matukuta
Ibrahim Matukuta

Kaka iunge tena hii link inatakiwa kuwa http://www.bbc.co.uk/worldservice/arts/2010/
ReplyDelete02/100212_tanzania_myworld_2.shtml
la sivyo hawataona kitu.
ndugu yangu kazi nzuri picha clear mtu wa camera alikuwa katulia...pia editing safi.good luck.
ReplyDeleteTuwasiliane ndugu yangu tupo pamoja katika industry hii ya media.
10GA[UK]
Kazi nzuri sana. Kiwango nimekikubali. Picha nzuri, ujumbe ni mfupi, unaeleweka na unaelimisha.
ReplyDeleteKitu kidogo tu ni kwamba anayetoa simulizi kama anaongea taratibu kidogo "she's kind of dragging the story". A little bit of pace in her narration could have been better. Don't take this advice too seriously because I know nothing about film but that's just the feeling I got when watching it.
LA MUHIMU NI KWAMBA KAZI NI NZURI SANAAAA. HONGERA
Mdau