Miss Universe TZ 2009, Iluminata James, akitoa msaada wa sabuni na misaada mingine ya kibinadamu kwa baadhi ya wagonjwa maalbino wanaosumbuliwa na matatizo ya kansa ya ngozi ambao wamalazwa katika Hospitali ya Kansa ya Ocean Road jijini Dar leo. Anayepokea kulia ni Justice Juma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. tuwasaidie wenzetu wenye matatizo jamani,fadhila atatoa mwenyezi MUNGU...wanahijati msaada wetu wa kila khali na mali...mdau moscow

    ReplyDelete
  2. Hongera Dada endelea na moyo wako huo,,ili akina Miriam Gerad wakuige waache ulimbukeni wanaofanya hadi kufikishwa mahakamani kwa mambo ya kijingajinga tu...saidia mama.

    ReplyDelete
  3. ahsante sana dada kwa wema unaotenda wa kuwakumbuka wenzetu. Hawa jamaa wana roho nzuri sana ila kuna mmoja tu kawatia doa ( Yule wa chama kikongwe anayetapeli magari na kuyakodisha akisingizia kuwa yana kazi maalum ya chama)
    Kaza buti dada Immaculata.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...