Marehemu Hamisi Kitambi
Mwanamziki mkongwe HAMISI KITAMBI amefariki dunia leo 26 February 2010 Dar-es-salaam. MAZISHI YATAFANYIKA JUMAMOSI saa 7.00 mchana 27-02-2010 MAGOMENI mtaa wa Ifunda jirani na shule ya MzimuniJijini Dar.
Marehemu Hamisi Kitambi aliwahi kupigia bendi za Msondo Ngoma, kabla ya kupata maumivu ya mguu baada ya ajali alipokuwa safarini na bendi ya Msondo Ngoma.
Marehemu pia alikuwa mwanamziki nyota enzi za Tabora jazz,ambako alipigia vijana hao wa Segere Matata kabla ya kuhamia Juwata Jazz sasa Msondo Music band.
Kwa taarifa zaidi tafadhali mnaweza kuwasiliana kwa simu na familia ya marehemu kwa simu namba
+255 713 802370 Almasi Kassanga.
au
au
Bi.Mwamini Kitambi simu namba +255 712 217740
Mwenyezi mungu amlaze mahala pema peponi.
Mwenyezi mungu amlaze mahala pema peponi.
AMIN
rip mzee kitambi
ReplyDeletePoleni sana ndugu, marafiki na wapenzi wote wa muziki. Ingawa sasa hatufahamu, nahisi hili ni pengo lisilozibika kwetu wote. Pia ni funzo kwetu sote: Tuwapende na kuwakumbuka tuwapendao wakati wako hai......
ReplyDeleteBlackmpingo