Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Nakaaya
    vipi rafiki mbona kimya? au ndio tayari tia maji tia maji?? maana kimya kirefu ghafla unaibukia babati??? duh

    ReplyDelete
  2. SAA 9:30 PM .!?????!!!!.....Hapa maana yake nini? Wadau nisaidieni maana sijaelewa huo muda.(au ndio kiswanglishi).

    ReplyDelete
  3. Huelewi nn na ww?? kwani hujui muda wa watu wa kujirushaa?? unataka kila kitu utafuniwe tuuu, chekecha kichwa ndugu!!

    ReplyDelete
  4. Kwa haraka tu inaelekea mtoa maoni wa 03:28:00 ndiye aliyehusika kuandaa hicho kitangazo.Usifunike kombe ndugu kwenye muda ni kweli umechemsha.

    ReplyDelete
  5. (Kiinglish)- TIME. 9:30 PM (Tike)
    (Kibongo ) MUDA. 3:30 USIK (Tike)
    Tangazo liko kwa kiswahili,hivyo kuingiza mambo ya 9 na PM ndipo tatizo linapokuja.

    ReplyDelete
  6. mwendo wa kiswanglishi

    kaaaaaaaaaaaaaazi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...