Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Ankali Michuzi

    ki ukweli nimemsikia kwa makini sana Bwana Innocent Nganyagwa aka Ras inno he is very right in that thing of copyright tatizo kubwa ni wasanii wetu wanapiga makelele but they not willing to take initiative to stop this,wanaibiwa sana but they dont feel it wakipata hela dusko ya kununua ki toyota roho zao saaafi kabisa...na kuvaa jeans mpya kwao ndio mafanikio ya sanaa...hili ndio lilimshinda hata Mr 2 aka Sugu akaamua kusepa zake mbele kufanya mambo mengine...me naamini msanii kama feruzi aliyeweza kuuza nakala za albamu mpaka ikasadikika kuwa alikuwa anakimbizana ki mauzo na bendi za fm akademia na album ya dunia kigeugeu na twanga pepeta hivi sasa anakosa hata hela ya kujikimu...ni miaka michache tangu atambe na kuuza nakala nyimgi za album yake ya starehe...huu ni mfano mmoja tu wa hali hii,wapi alipo Mb dog msanii aliyetingisha soko na kuuza nakala elfu 50,000 kwa wiki moja hapo wahindi mpaka kutangaza hivyo basi utakuta ziliuzwa kama laki moja na nusu...leo hii hana hata gari au asset ambayo inaweza kumkumbusha albamu yake ya kwanza ya Latifa..ki ukweli inasikitisha sana...tatizo kubwa la wasanii wetu wanapumbazwa na wadau fulani wakubwa wa radio moja ya vijana hapa bongo kuwa wakiazisha mgomo watapotezwa kwenye media na watanyimwa promo...ni kweli nhata Sugu alipogoma kuzindua albamu yake na redio hiyo walimletea mizengwe na kusababisha kupata watu wachache kwenye ule uzinduzi na kumfanya kukata tamaa...hata Fid Q na wenzake walipata kuanzisha movement ya kupinga unyanyasaji huu but kilichotokea kabla ya kampeni kuanza wasanii wengi walipokea mikwara toka kwenye redio hiyo na kujitoa na kumfanya Fid Q kuonekana ndio anahamasisha na kuishia kuwekwa kapuni eti wakaacha kupiga nyimbo zake redioni...huu ni uonevu mkubwa....inauma sana but ndio wasanii wetu hawataki kuamua kumaliza ujinga huu.

    ReplyDelete
  2. TOKA ENZI MABENDI ZILIKUA ZINA REKODI RTD,KIKAJA CHAMUDATA WANAMZIKI TANZANIA HAKI ZAO NIKUDHULUMIWA...SIKU HIZI LAZMA UPITIE KWA RUGE NDIO KAZI YA MSANII ICHUKULIWE KWA MHINDI...
    TUNAOMBA SERIKALI AKOMESHE UFISADI HUU ANGALAU MSANII APATE HAKI ZAKE...TANZANIA NI NCHI AMBAYO INA SIFA NZURI KISIASA NA UTAMADUNI...WASANII WETU WATAKUFA MASKINI SABABU YA UFISADI...MDAU MK

    ReplyDelete
  3. ras ino nimefurahi kumuona tumezaliwa kijiji kimoja michuzi naomba mpe email yangu nipate mawasiliano nae alikuwa rafiki wa kaka yangu mahamed kijijini kwetu ndiuka email, starius98@yahoo.com anitumie no yake please

    mdau sweden

    ReplyDelete
  4. Ras Inno,hujabadilika mtu wangu! Ni furaha ilioje kukuona hapa. Yote uliosema ni kweli na ni lazima tukubali kuchange namna ya kufanya kazi.Hongera sana na dumisha kuelimisha umma.

    ReplyDelete
  5. tatizo ya wabongo tuna wazarau sana wa sanii aswa wa bongo falavor tuna waona kama awajaenda shule!!
    mbona wakina 50 cent shule patupu na wanaheshimika

    ReplyDelete
  6. Respect ras Inno, my five cents katika hizo mada zinazoendelea kuhusu haki miliki ni ufinyo wa uchabuzi wa sheria za intellectual propepty law ndani ya nchi nzima ya Tanzania, najiuliza maswali je hii inatokana nakutokuwepo kwa ubunifu katika depts nyingine kama Chemia,Biologia,Ufundi,Uandishi nk.Sheria za hakimiliki ni mhuhimu sana katika kutunza haki ya miliki wa ubunifu wakila sekta iwe Formula ya hisabati au mabomba ya ulanzi ni haki yake kila miliki kulindwa na sheria hizo iliaendelee kunufaika na loyalties pindi ubunifu wake utakapo tumika kiufupi ni katika kila kitu si miziki tuu... tuta hili katika fuatilia yangu nimeona kwa Tanzania lipo zaidi kwenye miziki na Filamu ufinyu huu wakuliangalia hili linasababisha umbwe tororo kama Inno alivyoelezea katika uchambuzi wake.. kwanini Mbunifu wa sanaa za uchoraji kama Tingatinga alifariki Masikini? angali kazi zake zinapatika Ulaya hadi japani? tuibanae Sheria.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...