Bi Jamillah na watu wake wa karibu wakati wa chiken pati yake ukumbi wa Diamond Jubilee VIp Hall jijini wikiendi hii.
mama mzaa chema bi. Saida Omary Tamimu akituzwa
wajati wa mlo
mlo kwanza...
Nyota Waziri alikuwepo kutoa buridani
mama mzaa chema akiwa na shada la madolari akijidai wakati wa chiken pati ya bintie Jamillah Nana Daudi iliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee VIP hall jijini wikiendi hii.
muonekano wa sehemu la tukio
Bi Jamillah a.k.a Nana Daudi tayari kwenda kwenye hafla
Mzaa chema na somo Zuleikha Salum Lodi (shoto) na Jamillah
Jamillah akiandaliwa
Jamillah akiingia ukumbini
zawadi kwa jamillah
seti hii yako jamillah
zawadi kedekede unaambiwa
zawadi
furaha ya siku muhimu
Ladies in Red
ndugu, jamaa na marafiki




















Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. Hao Wanaume wawili ninaowaona hapo wanafanya nini katika shughuli ya wanawake? Lol!! Mbona balaa!!

    ReplyDelete
  2. Mi hata siwaelewi wallah...

    ReplyDelete
  3. Michu,

    nibandie hii, email yako inagoma.

    Nimeshuka airport juzi nikakutana na mambo 2 ambayo nataka wadau wengine wanishauri ingawa imekua ikirudiwa mara kadha wa kadha hapa:

    1. Begi langu lilikua na wraping hivyo nikaambiwa nilifungue. nilifungua lakini vitu vyote ni vya kwangu naenda kutumia nyumbani kwangu. Hivi natakiwa nichajiwe kodi?

    2.Nilipomalizana na ukaguzi (sikukubali kulipa), nilisogea mlangoni ili sasa nikutane na familia yangu kwa ajili ya mahug lakini nkakutana na watu 4 wamesimama mstari mmoja. Mmojawao akaniambia 'hebu tuone passport yako'. Hapa ndio nataka niulize maswali zaidi. Hivi hawa wanauliza umekwenda nje kufanya nini ni kazi yao? vitambulisho vyao vilikua vimegeuzwa si rahisi kuona jina, je si haki yangu kukataa kumpa pasi yangu kama sioni kitambulisho chake? Mmoja wao alinitishia eti yeye anafanya kazi serikalini hivyo anaweza hata kunichelewesha nisitoke pale, je haki yangu iko wapi? Kwa kutambua kuwa serikali yetu inapiga sana kelele na customer service mbovu, naomba mnipe ushauri wa busara nifanye nini maana watu wa namna hii hawatakiwi kabisa ku-face customers ndio wanaorudisha nyuma image yetu tuanonekana hovyo kumbe ni mijitu ambayo imeajiriwa kibahati, haina hata uchungu na nchi kazi njaa tu. walikuwepo watu 4 na kati yao namkumbuka mtu 1 aliyenisumbua sana na kunitukana, wenzake 3 walikua kimya waliona mwenzao keshakosea step.

    ReplyDelete
  4. kaka, sasa kama ni kitchen part hao watoto wa kiume inawahusu?

    ReplyDelete
  5. Michu huyu ni Jamillah (meaning Beautiful). Sasa hilo la Nana Daudi tena linatoka wapi?. Au ndiyo mapenzi hayana dini?.

    ReplyDelete
  6. jamani, kuna picha naona wanaume, wamefuata nini kwenye kitchen party? naomba msaada au siku hizi wanaume pia wanahudhuria kitchen party?

    ReplyDelete
  7. Hii ni kitchen party au send-off? Mbona kuna wanaume humo? halafu bi harusi jamani kwann wamennga na hiyo nguo? maana hata sura haonekani wala shepu. mama mzaa chema alipendeza na wageni waalikwa walipendeza pia ila nguo ya bi harusi ni big noo amepooza kwa kweli wakati she is very beatiful kabla ya hayo marembo ya usoni.

    ReplyDelete
  8. NO COMMENT

    ReplyDelete
  9. jamani hawa warabu ama au mahafcasti mmoja kwa kenda kwa sandoz rangi ya upsteers na dowwn azi much whaz happen any way simba oyeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  10. yaani wamemvalisha hata mask? helloween party? she is so cute but wamekosea kumpamba bwana, hilo joo wala.

    ReplyDelete
  11. 24/7 starehe....tuseme bong LASVEGAS miundo mbinu tutakuwa nayo kweli

    ReplyDelete
  12. Huyo kaka mwenye shati ya mistari ukiikua hiyo picha ndio utaona vizuri vidole vyake pete alizovaa na jinsi alivyopozi, kisha utajaza mwenyewe kama alistahili au hakustahili kuhudhuria hiyo pati ya kuku (chicken party)

    ReplyDelete
  13. hao wanaume ni ma bwana harusi na nyie wabongo wambea!

    ReplyDelete
  14. Michuzi, sio "chiken party" ni "kitchen party".
    Alafu hizo ndume mbili zinatafuta nini kwenye hii shughuli ambayo inajulikana wazi ni shughuli ya kina mama pekee?

    ReplyDelete
  15. Ndugu zangu inategemea kitchen party inafanywa na familia gani, inafanyika wapi,lakini kwa kifupi tu siku hizi kuna kitchen party nyingiiiiii wanaume wanakuwepo, na kwa taarifa yenu wakiwepo wanaume ni wazungumzaji wazuriiiiii sanaaaa, na wanoangea vitu na mambo ya maana kuliko wanawake. Tena bora waongee wao wammambie bibi harusi mwanamume anataka nini katika ndoa. Kwa hiyo msishangae kuwepo wanaume ni kitu cha kawaidaaaaaaaa mambo msetoooooo

    ReplyDelete
  16. mmh jamani hii kiboko hata kama ni bwana harusi kwenye kichen pati hatakiwi kuingia ukumbini ndani utakaa huko nje kama umemmisi sana mkeo mtarajiwa basi akitoka unae,
    na hii style ya ninja nayo kiboko utafikiri mwarabu wa jangwani originali wamarekani wamemuona huyo au bado wanambwelambwela tu

    ReplyDelete
  17. habari kamili ya hii shughuli mwende http://www.8020fashions.blogspot.com ni balaa pambe la nguvu, kweli bongo tambarare

    ReplyDelete
  18. Ukumbi umependeza mnoooooooooooooo na sherehe nzuri sana!

    ReplyDelete
  19. Jamani mnawakomalia hao watu mbona michuzi hamumsemi? unafikiri alipata wapi picha hizi?

    ReplyDelete
  20. Duh, kweli bongo tambarare. Mwanangu si mchezoooooooooooo, Jamila uko juu wewe na familia yako.mimi mwenyewe nikipata harusi uongo nitawaita mnisaidie kuandaaaaaaaaaaaa
    Red ni kiboko mmenifanya niipende na bi Harusi amevaa unique dresss, excellent choice!!

    ReplyDelete
  21. jamani huyo wa juu kabisa bro! masoud wa kariako mtaa kongo, yeye ni mwenyekiti wa kamati nzima inayosimamia harusi nikimaanisha, reception, ndoa na kitcheni party kwa lazima awepo pale kihakikisha mambo yote yanakwenda sawa!, na cha ajabu ni kitu gani haswa na huyo mwingine ni muimba taarabu wa melody hamjui???? mzuka ukimpanda anacheza babu ah1 ah!, hapo melody walikuwa wanakwenda live jamani mbona wanaume wengi tu ciku hizi kwenye k-party??? mwali anafundwa kwenye unyago chumbani tena watu hawaingii kabisa ispokuwa manyakanga sio kwenye k-party hiyo ni shughuli tu ya kufurahi tu babu

    ReplyDelete
  22. annon 10:46:00 AM
    yani nimepitia apo 8020 blogu,,,kwi kwi kwi haaaa kweli bongo tambarare sasa ndo nini jamani?izi mila za kigeni izi??

    katoka kijangwani-jangwani toto la watu

    hahahahaaaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...