hapa ni barabara ya morogoro road maeneo ya jangwani. huo mbele si ukungu bali moshi wa takataka zinazochomwa pembezoni mwa barabara. changanya na moshi wa magari mambo yanakuwa mswano kibongo bongo, ukizingatia moshi huo hauishii hapo tu...
waendao kwa miguu huvuta hewa hiyo nzito ya moshi. hali hii ni kila jioni.....
hali hiinkutokea katikati ya jiji haiingii akilini. wanamazingira mpooo??




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Halafu mnatumabia ohh ohh bongo tambarareeee!! kama tambarare yenyewe ndio hii siji ngooooo

    ReplyDelete
  2. Wanamazingira tumejitosa kwenye siasa, mabenki na makampuni ya simu. Fani ya mazingira hailipi kabisa ndugu yetu, mkono hauendi kinywani hata kiduchu.

    ReplyDelete
  3. Baki huko huko boxini ubangaize na kupoteza muda wako. Haurudi mara mbili huo..

    ReplyDelete
  4. baki huko huko msije huku tukabanana endeleeni kubeba box cc huku tambarare kweli

    ReplyDelete
  5. ALAFU WANASEMA AFRICA HAICHANGII KUINGIZA CARBON DIOXIDE KWENYE ATMOSPHERE.HAPO NI MFANO MMOJA TU NA SEHEMU MOJA TU.JE THE WHOLE AFRICA.?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...