Mwenyekiti wa Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, Akipokea hundi ya Tsh 6,200,000 kutoka kwa Chama Cha Wachapishaji Vitabu Tanzania(PATA) Kutoka kwa Mwenyekiti wao Bw. Ian Moshi. Makabidhiano yalifanyika katika Ofisi ya WAMA Jijini Dar
Mwenyekiti wa Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, Akiwajulisha wananchi wa wiliya ya Rufiji, kuhusu Wanafunzi wataoanza masomo katika Shule ya Sekondari ya Wasichana iliyojengwa katika wilaya ya Rufiji ijulikanayo kama, WAMA-NAKAYAMA. Shule hiyo inapokea Wanafunzi wa kike yatima pia na wale wanaoishi katika mazingira magumu. Pia Shule hiyo inapokea wanafunzi waliochaguliwa kutoka mikoa yote ya Tanzania. Shule hiyo inafunguliwa jumatatu tarehe 1 mwezi Machi 2010. Katika picha, Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Hajat Amina Mrisho Said, Na wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo Mhe. Mwamtumu Mahiza. Shughuli hiyo ilifanyika katika shule hiyo jana.

watoto watakaoanza masomo katika shule
mpya ya WAMA-NAKAYAMA Wilayani Rufiji jumatatu.
Picha na Anna Itenda wa MAELEZO




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Asante Waandishi

    ReplyDelete
  2. Naswali je hiyo shule wanasoma bure yatima au wanalipa?

    ReplyDelete
  3. breaking news
    NBC, msnbc.com and news services
    updated 10:14 a.m. ET Feb. 27, 2010
    SANTIAGO, Chile - A devastating earthquake struck Chile early Saturday, toppling homes, collapsing bridges and plunging trucks into the fractured earth. A tsunami set off by the magnitude-8.8 quake threatened every nation around the Pacific Ocean — roughly a quarter of the globe.

    Interior Minister Edmundo Perez Yoma said the most powerful quake to hit the country in a half-century killed at least 82 people, but the death toll was rising quickly.

    President Michelle Bachelet declared a "state of catastrophe". Buildings were damaged in the capital Santiago, more than 200 miles away from its epicenter.
    kwa habari zaidi cheki i-net NBC
    mdau

    ReplyDelete
  4. mwenye,enzi mungu AWAZIDISHIE, kidogo na kikubwa,mtoto wa mwenzie ni mtoto wako.INSHAA'ALLAH Ulisi mzuri kwa mtoto ni Elimu chole samvula kijijini- Mdingwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...