Home
Unlabelled
ZATI HONOURS ZANZIBAR HISTORIAN
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
profesor sharif ni hazina yetu wazanzibari ni lazima atunzwe.
ReplyDeleteNimefurahi sana kuona taarifa hii ya kutuzwa Profesa Abdul Sheriff. Huyu ni bingwa anayetambulika na kuheshimiwa duniani kote. Mimi ni mmoja wa wale ambao ametusaidia katika utafiti na taaluma. Halafu hana makuu. Nakumbuka enzi tulipokuwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na pia nilivyoonana naye huku Marekani. Agosti 15, 2005, nilitoa mhadhara katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), naye alihudhuria. Nikiwa ni mdogo kwake kiumri na kitaaluma, niliguswa na uwepo wake. Kwa jinsi asivyokuwa na makuu, naogopa kuendelea kutoa sifa zake, nisije nikamkera. Nategemea siku itafika ambapo Tanzania yenyewe itaanza kuwatambua wataalam wake vilivyo.
ReplyDeleteAnkal,
ReplyDeleteHivi Simba S.C leo imevutwa mkia na African Lyon ya Mbagala DSM, ktk mchezo wa ligi Kuu TZ? au ni rumour, rumour za Dar!
Wewe Anonymous no. 3 umekimbia umande nini? Mbona unaleta vya Simba na nani wakati hii taarifa inahusu kupongezwa kwa Professa Sheriff.
ReplyDeleteAnzisha mada yako usirukie za wenzako ukaziharibu kwa choyo