PROFFESSOR ABDUL SHERIFF FAMOUS ZANZIBAR HISTORIAN RECEIVING THE ZATI SPECIAL AWARD FROM THE BRITISH HIGH COMMISSIONER4 TO TANZANIA BALOZI DIANE CORNER FOR HIS OUTSTANDING WORK IN PRESERVING HISTORY AND PROMOTING THE RICH SWAHILI CULTURE WHICH HAD A DIRECT POSITIVE IMAGE ON THE CULTURAL TOURISM OF ZANZIBAR
MEMBERS OF ZATI, COMMISSION FOR TOURISM AND REPRESENTATIVES OF VODACOM AND KCB ON A GROUP PICTURE..CELEBRATING THE SUCCESS OF THE EVENING


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. profesor sharif ni hazina yetu wazanzibari ni lazima atunzwe.

    ReplyDelete
  2. Nimefurahi sana kuona taarifa hii ya kutuzwa Profesa Abdul Sheriff. Huyu ni bingwa anayetambulika na kuheshimiwa duniani kote. Mimi ni mmoja wa wale ambao ametusaidia katika utafiti na taaluma. Halafu hana makuu. Nakumbuka enzi tulipokuwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na pia nilivyoonana naye huku Marekani. Agosti 15, 2005, nilitoa mhadhara katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), naye alihudhuria. Nikiwa ni mdogo kwake kiumri na kitaaluma, niliguswa na uwepo wake. Kwa jinsi asivyokuwa na makuu, naogopa kuendelea kutoa sifa zake, nisije nikamkera. Nategemea siku itafika ambapo Tanzania yenyewe itaanza kuwatambua wataalam wake vilivyo.

    ReplyDelete
  3. Ankal,
    Hivi Simba S.C leo imevutwa mkia na African Lyon ya Mbagala DSM, ktk mchezo wa ligi Kuu TZ? au ni rumour, rumour za Dar!

    ReplyDelete
  4. Wewe Anonymous no. 3 umekimbia umande nini? Mbona unaleta vya Simba na nani wakati hii taarifa inahusu kupongezwa kwa Professa Sheriff.

    Anzisha mada yako usirukie za wenzako ukaziharibu kwa choyo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...