Ankal Usafiri Huu unahudumia wangoni since long time, yeyote aliyewahi kwenda Songea ukimuonesha hii atakumbuka mbali sana. toka kulia ni dereva wa Superfeo Express Ally Chikoko akifuatiwa na mkurugenzi wa Superfeo Omary Superfeo na wadau
abiria ndani ya Super Feo Express
ndinga za Super Feo tayari kuelekea nyumbi hii bombi hii...



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. E bwana ndio, long time naona tawaqual, kiswele,special coach,scandinavia,sumry na niliwasahau ngoma zimebuma kaka. Safi sana huyu jamaa ni mwanamdogo sana na anafanya mambo, Nimesomanae mabantini shule ya msingi mjini njombe
    CEO Belvior Letting UK

    ReplyDelete
  2. mbona makaratasi bado yako kwenye seat? very uncomfortable

    ReplyDelete
  3. sasa hayo makaratasi ya nini!!

    ReplyDelete
  4. ZAMANI TULIKUWA TUNATUMIA KAMATA AU RELI BUSES .
    ....UMEZALIWA LINI, AU UMEANZA "KUONA" LINI ?

    ReplyDelete
  5. Na kabla ya KAMATA (DMT)kwenda Songea ilikuwa ni Teeteeco. Kizazi gani?

    ReplyDelete
  6. Michu-

    Bombi hii nyumbi hii ni kweli lakini hili ndinga labda la juzi..miye nilizoea BBS,Tee-Tee-Co na latest ni Kiswele au BBS..Anyway,mradi huyu Super Feo atatufikisha salama salmini maana zile kona za Kifanya na milima ya Lukumbule ni hatari tupu kwa madereva chipukiz.

    Ukipata muda mkuu tuwekee picha za sherehe ya kuipa hadhi makumbusho ya machifu walioshiriki vita ya Maji Maji inayoratibiwa na watu wa utalii.

    Alamsiki,

    Mike Mhagama.

    ReplyDelete
  7. hayo makaratasi kwenye viti ya nn? hapo hakuna starehe utakayoipata ukisafiri na hilo bus zaidi ya kero za karatasi! kaazi kweli kweli!

    ReplyDelete
  8. Hayo makaratasi ilikuwa ni siku mabasi yalipofika Songea, Yalitolea na hivi sasa ni bomba. Tunakushukuru sana Superfeo kwa sababu mabasi haya hayana historia ya ajali tofauti na zamani. Ndege Songea hakuna tupandage haya haya jamaani.

    ReplyDelete
  9. Mbona wasafiri wana nyuso za huzuni? kondakta hebu ondoa maplastiki ya viti!!!

    ReplyDelete
  10. madai yao viti vibaki vipya! ushuzz kweli acheni watu wajiachie ala!

    ReplyDelete
  11. Wapi Ruvuma Tours and Ottawas??? Superfeo kenge

    ReplyDelete
  12. Anony wa 05:53:00pm acha kupaka, inaonekana wewe si msafiri wa Songea ama una lako jambo. Hayo mabasi ni msaada mkubwa sana kwa wananchi wa Ruvuma. Ruvuma Tours zilishaacha kutoa huduma tangu miaka zaidi ya kumi iliyopita. Tumtie moyo huyu jamaa Superfeo ndio kampuni pekee imbayo imetoa huduma kwa muda mrefu na ni kimbilio la wananchi wa Ruvuma.

    ReplyDelete
  13. Wafikishie hao madereva msg yangu,
    Wawe makini wanappoendesha magari,tumechoka na hizi ajali za kila siku zinazotuacha na majonzi.Plz imetosha sasa.

    ReplyDelete
  14. Na kabla ya teeteeco, mlikuwa mnatembea kwa miguu, hatabbahari hamkujua ina exist .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...