Home
Unlabelled
Ze Ungonini Trans
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
E bwana ndio, long time naona tawaqual, kiswele,special coach,scandinavia,sumry na niliwasahau ngoma zimebuma kaka. Safi sana huyu jamaa ni mwanamdogo sana na anafanya mambo, Nimesomanae mabantini shule ya msingi mjini njombe
ReplyDeleteCEO Belvior Letting UK
mbona makaratasi bado yako kwenye seat? very uncomfortable
ReplyDeletesasa hayo makaratasi ya nini!!
ReplyDeleteZAMANI TULIKUWA TUNATUMIA KAMATA AU RELI BUSES .
ReplyDelete....UMEZALIWA LINI, AU UMEANZA "KUONA" LINI ?
Na kabla ya KAMATA (DMT)kwenda Songea ilikuwa ni Teeteeco. Kizazi gani?
ReplyDeleteMichu-
ReplyDeleteBombi hii nyumbi hii ni kweli lakini hili ndinga labda la juzi..miye nilizoea BBS,Tee-Tee-Co na latest ni Kiswele au BBS..Anyway,mradi huyu Super Feo atatufikisha salama salmini maana zile kona za Kifanya na milima ya Lukumbule ni hatari tupu kwa madereva chipukiz.
Ukipata muda mkuu tuwekee picha za sherehe ya kuipa hadhi makumbusho ya machifu walioshiriki vita ya Maji Maji inayoratibiwa na watu wa utalii.
Alamsiki,
Mike Mhagama.
hayo makaratasi kwenye viti ya nn? hapo hakuna starehe utakayoipata ukisafiri na hilo bus zaidi ya kero za karatasi! kaazi kweli kweli!
ReplyDeleteHayo makaratasi ilikuwa ni siku mabasi yalipofika Songea, Yalitolea na hivi sasa ni bomba. Tunakushukuru sana Superfeo kwa sababu mabasi haya hayana historia ya ajali tofauti na zamani. Ndege Songea hakuna tupandage haya haya jamaani.
ReplyDeleteMbona wasafiri wana nyuso za huzuni? kondakta hebu ondoa maplastiki ya viti!!!
ReplyDeletemadai yao viti vibaki vipya! ushuzz kweli acheni watu wajiachie ala!
ReplyDeleteWapi Ruvuma Tours and Ottawas??? Superfeo kenge
ReplyDeleteAnony wa 05:53:00pm acha kupaka, inaonekana wewe si msafiri wa Songea ama una lako jambo. Hayo mabasi ni msaada mkubwa sana kwa wananchi wa Ruvuma. Ruvuma Tours zilishaacha kutoa huduma tangu miaka zaidi ya kumi iliyopita. Tumtie moyo huyu jamaa Superfeo ndio kampuni pekee imbayo imetoa huduma kwa muda mrefu na ni kimbilio la wananchi wa Ruvuma.
ReplyDeleteWafikishie hao madereva msg yangu,
ReplyDeleteWawe makini wanappoendesha magari,tumechoka na hizi ajali za kila siku zinazotuacha na majonzi.Plz imetosha sasa.
Na kabla ya teeteeco, mlikuwa mnatembea kwa miguu, hatabbahari hamkujua ina exist .
ReplyDelete