Mkurugenzi wa TAMWA, Bi. Ananilea Nkya akipokea tuzo ya Mwanamke Jasiri wa Tanzania kwa mwaka 2010 kutoka kwa Balozi wa Marekani nchini Alfonso Lenhardt. Kapata tuzo hiyo kutokana na juhudi na ubunifu wa TAMWA wa kutumia vyombo vya habari katika kuimarisha usawa, fursa na haki za wanawake na watoto wa kike wa Tanzania



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Kutambuliwa huku: a badge of honour ama a badge of shame? Mbona tusitambuliwe na watu wetu wenyewe?

    ReplyDelete
  2. eh wanawake wa kichagga muko juu! well done mama.

    ReplyDelete
  3. Mama huyu sijawahi kumuona uso kwa uso lakini huwa ninafurahia hoja zake kupitia vyombo vya habari. ni mwanaharakati shupavu na anastahiki hiyo tuzo. HONGERA SANA na keep up!!

    ReplyDelete
  4. ...Hongera mama!!!

    ReplyDelete
  5. Hongera sana mama!! Anony 05:41:00 ingependeza tungemtambua sisi wenyewe na sio wageni. Sie tunawatambua mamiss zaidi.

    ReplyDelete
  6. mdau hapo juu unaesema wanawake wakichaga mko juu wewe inaonyesha kabisa ni mshamba

    ReplyDelete
  7. KWASHA MA! KIJIJI CHA NRONGA, MACHAME JUUU!

    ReplyDelete
  8. Kuuliza si ujinga hivi wadau, tuzo hii aiambatani na chochote mfukoni kama ile ya nobel?

    ReplyDelete
  9. annon #1 sawa kabisa,tujitambue sisi wenyewe kwa kupima michango kwa jamii,kwani kule kijijini pia kuna watu kibao ambao HAWAONEKANI na wanachangia/saidia jamii kuliko awa wa mjini darisalama,na sio kutambuliwa na hawa wageni wanaotoa izo ngao/mbao...

    aya ya kutambuliwa na wageni nayaonaga walakini tu!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...