Hayati Swetu Fundikira
Hayati Swetu Fundikira (wa tatu toka shoto nyuma) akiwa na kikosi cha Mwadila Investments alichukuwa anachezea kwenye Bonanza la kila Jumapili Leaders Club, ankal akiwa meneja

Familia ya Mzee Ramadhan Fundikira wa Kinondoni Dar es salaam inapenda kuwaarifu ndugu, jamaa, marafiki na wadau wote kuwa arobaini ya mpendwa wetu Marehem Swetu itakuwa Jumamosi hii tarehe 06 March 2, 2010 palepale Nyumbani Kwa Mzee Ramadhan Fundikira Kinondoni Msufini.
NYOTE MNAKARIBISHWA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...