Kada Adamu Besti Simba akikabithiwa na wazee upinde na mshale kwa ajili ya kuweza kupigana na kuhakikisha ananyakua jimbo la moshi mjini
Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Mh. Beno Malisa akikabidhiwa Umangi wa mkoa wa kilimanjaro na wazee wa mkoa huo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Manyema mjini Moshi wikiendi hii. Picha na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. na ubunge anakabidhiwa lini?

    ReplyDelete
  2. I salute u! bro uko juuu!!! by Alice

    ReplyDelete
  3. CCM wameanza kukufuru!!! wanatupeleka wapi jamani? it's scaring. Mwenyekiti JK inabidi aingilie kati na kutoa mwongozo.

    ReplyDelete
  4. Du mushi huko kumngoa ndesamburo ni ndoto,inahitaji kazi ya ziada.

    ReplyDelete
  5. Mwaka huu ndio wenyewe kwa watu kutawazwa kuwa machifu. Shughuli imeanza... ni Dar pekee hutasikia hizi mbwembwe za machifu.

    ReplyDelete
  6. Ni kufuru gani sasa hapo au umejisikia tu kundika?kama huelewi vitu uliza uambiwe sio unaongea ovyo tu ndugu yangu,kijana amefanya mambo mazuri kwa nini wasimpongeze watu wa kwao?they r proup of him and he deserve kama hufahamu tafuta wanaomjua wakuambie ndugu yangu.
    By the way congrats bro Beno mi nlikuepo kwenye ziara zako na zilienda vema kabisa na tulimaliza salama,nakupongeza na nakuombea heri pia ufanikishe malengo yako mana bado una safari ndefu.
    CCM OYYYEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. Ni mbinu tu....

    ReplyDelete
  8. Du huyo Kaka kweli vijana wa J.k kwani alikuwa mtu wa kufanya bidii sana nakupa big up sana na hongera

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...