Home
Unlabelled
makada wa CCM kilimanjaro waibuka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
na ubunge anakabidhiwa lini?
ReplyDeleteI salute u! bro uko juuu!!! by Alice
ReplyDeleteCCM wameanza kukufuru!!! wanatupeleka wapi jamani? it's scaring. Mwenyekiti JK inabidi aingilie kati na kutoa mwongozo.
ReplyDeleteDu mushi huko kumngoa ndesamburo ni ndoto,inahitaji kazi ya ziada.
ReplyDeleteMwaka huu ndio wenyewe kwa watu kutawazwa kuwa machifu. Shughuli imeanza... ni Dar pekee hutasikia hizi mbwembwe za machifu.
ReplyDeleteNi kufuru gani sasa hapo au umejisikia tu kundika?kama huelewi vitu uliza uambiwe sio unaongea ovyo tu ndugu yangu,kijana amefanya mambo mazuri kwa nini wasimpongeze watu wa kwao?they r proup of him and he deserve kama hufahamu tafuta wanaomjua wakuambie ndugu yangu.
ReplyDeleteBy the way congrats bro Beno mi nlikuepo kwenye ziara zako na zilienda vema kabisa na tulimaliza salama,nakupongeza na nakuombea heri pia ufanikishe malengo yako mana bado una safari ndefu.
CCM OYYYEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!
Ni mbinu tu....
ReplyDeleteDu huyo Kaka kweli vijana wa J.k kwani alikuwa mtu wa kufanya bidii sana nakupa big up sana na hongera
ReplyDelete