Home
Unlabelled
bongo tambararezzzzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
famas!!!!!! Mungu wangu hawa madaktari feki watatuua hata kusoma na kuandika hawajui
ReplyDeleteKWANZA NIKICHECK VIZURI NAONA KUKU WAMETULIA KWENYE CAGE,HII NI FAMAS(PHARMACY)YA KUKU AU WANADAMU,KAMA NI YA BINADAMU BASI LAZIMA NI YA DAWA ZA KIENYEJI NA HAO KUKU NI PALE SANGOMA ANAPOKUELEZA KWAMBA INABIDI KUKU ALE KISU ILI NIONE UNASUMBULIWA NA NINI.LOL
ReplyDeleteNYIE MTABAKI HAPO HAPO NA DAWA ZENU ZA KUCHANGANYWA MAMBO DAWA YA KIENYEJI BABAKE HAHAHAHA.
ReplyDeleteKama haitoshi mlangoni Famasia kakuandikia SAA 24 GONGA, yaani anytime yuko macho.
ReplyDeleteBongo kweli TWAMBARARE
Mdau Kisiju Pwani
Huyu kaandika kiswahili sasa mnachomcheka ni nini? Jamani tatizo ni nini?
ReplyDeleteMdau wa pili kaiona. Tena pale kuna kuku mweupe wa bahati. Ukiskuti zaidi lazima utakuta kuku mweusi na mwekundu...na jimbi la kuchi la kupatia ushindi kwenye mechi.
ReplyDeleteHa leo nimecheka kweli.
ReplyDeleteMpaka nimesoma comments ndio niaelewa ni nini. Honesty nilizania amesema God Grace (Famous) na Maabara sikuona hiyo A nikazania kasema Maa Bar...Oh! Kweli kweli hapo na hizo kuku hatoki mtu bila kununua moja.
Ushauri wangu mgonjwa akiumwa usiku wa manane mkimbize kwanza hospital. Hapo usiku wa manane kumwona (Famasisti) ni kujinunulia tu ticket......
Please people we still need you.....
hapa ukiingia lazima utokt na tetenus
ReplyDeleteNI KWAMBA JAMAA ANAKULA VICHWA KAMA KAWAIDA MAANA NAONA KUNA KAFOLENI KIDOGO, KUNA JAMAA MMOJA YUPO NJE ANASUBIRI DAKTARI AMUATENDI ALIYE NDANI
ReplyDeletekama kuandika tu ni ishu na kusoma izo dawa si ndiyo itakuwa tabu kabisa,wanaousika na ukanguzi wa pharmacy wafanye kazi zao.
ReplyDeleteJamani! si kila siku tunasisitiza ujasiriamali, ndo huo sasa. Kaka/dada kajipinda kaibuka na kitu hiko masaa 24 kinafanya kazi we gonga tu, teh teh!
ReplyDeleteKweli Bongo Tambarare!!!!!!!!!!!!!
Hahaha!!!!!!! Baada ya tiba unagonga supu ya kuku kwa kwenda mbele. Kwel akili kumkichwa
ReplyDeleteHicho cha mtoto tembelea pale famasi ya kienyeji Tandale uzuri!
ReplyDeleteAisee hii nikali, bongo tutapona kweli? ila tusishangae kunawenzetu hopo ndio wamefika wanajipatia first aid!!!!!
ReplyDeletemdau Arusha
Bongo kweli tambalale
ReplyDeletehahahahahaaaa! du hyo kali... kwani ukiingia hapo tu homa inapanda mala mbili. bongo nomaaa
ReplyDeletekama daktari yupo makini sioni ubaya jengo si kitu si mnakumbuka pale MUHIMBILI MOI kuna kilakitu but si kichwa kilikuwa goti na goti kuwa kichwa? sielewi huo uwoga wenu unakuja vipi tunatakiwa kuwa more analitical
ReplyDeletemacho yangu yameona kuwa kwenye huo mlango mweupe alipokaa huyo kaka ndo pharmacy ila sababu hakuna sehemu ya kuweka tangazo akaona isiwe ishu akaweka tangazo kwenye banda la kuku manake kaona kuna nafasi hapo
ReplyDeleteWadau nisaidieni hii famasi iko wapi? unajua mi napendaga sana vitu natural.
ReplyDeletemwanyika
Kwa mimi inaonekana sio pharmacy ni kwamba jamaa kaokota okota mabango ili kujisitili.
ReplyDeleteIntellectual heavy weight.