Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. famas!!!!!! Mungu wangu hawa madaktari feki watatuua hata kusoma na kuandika hawajui

    ReplyDelete
  2. KWANZA NIKICHECK VIZURI NAONA KUKU WAMETULIA KWENYE CAGE,HII NI FAMAS(PHARMACY)YA KUKU AU WANADAMU,KAMA NI YA BINADAMU BASI LAZIMA NI YA DAWA ZA KIENYEJI NA HAO KUKU NI PALE SANGOMA ANAPOKUELEZA KWAMBA INABIDI KUKU ALE KISU ILI NIONE UNASUMBULIWA NA NINI.LOL

    ReplyDelete
  3. NYIE MTABAKI HAPO HAPO NA DAWA ZENU ZA KUCHANGANYWA MAMBO DAWA YA KIENYEJI BABAKE HAHAHAHA.

    ReplyDelete
  4. Kama haitoshi mlangoni Famasia kakuandikia SAA 24 GONGA, yaani anytime yuko macho.

    Bongo kweli TWAMBARARE

    Mdau Kisiju Pwani

    ReplyDelete
  5. Huyu kaandika kiswahili sasa mnachomcheka ni nini? Jamani tatizo ni nini?

    ReplyDelete
  6. Mdau wa pili kaiona. Tena pale kuna kuku mweupe wa bahati. Ukiskuti zaidi lazima utakuta kuku mweusi na mwekundu...na jimbi la kuchi la kupatia ushindi kwenye mechi.

    ReplyDelete
  7. Ha leo nimecheka kweli.

    Mpaka nimesoma comments ndio niaelewa ni nini. Honesty nilizania amesema God Grace (Famous) na Maabara sikuona hiyo A nikazania kasema Maa Bar...Oh! Kweli kweli hapo na hizo kuku hatoki mtu bila kununua moja.

    Ushauri wangu mgonjwa akiumwa usiku wa manane mkimbize kwanza hospital. Hapo usiku wa manane kumwona (Famasisti) ni kujinunulia tu ticket......

    Please people we still need you.....

    ReplyDelete
  8. hapa ukiingia lazima utokt na tetenus

    ReplyDelete
  9. NI KWAMBA JAMAA ANAKULA VICHWA KAMA KAWAIDA MAANA NAONA KUNA KAFOLENI KIDOGO, KUNA JAMAA MMOJA YUPO NJE ANASUBIRI DAKTARI AMUATENDI ALIYE NDANI

    ReplyDelete
  10. kama kuandika tu ni ishu na kusoma izo dawa si ndiyo itakuwa tabu kabisa,wanaousika na ukanguzi wa pharmacy wafanye kazi zao.

    ReplyDelete
  11. Jamani! si kila siku tunasisitiza ujasiriamali, ndo huo sasa. Kaka/dada kajipinda kaibuka na kitu hiko masaa 24 kinafanya kazi we gonga tu, teh teh!

    Kweli Bongo Tambarare!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  12. Hahaha!!!!!!! Baada ya tiba unagonga supu ya kuku kwa kwenda mbele. Kwel akili kumkichwa

    ReplyDelete
  13. Hicho cha mtoto tembelea pale famasi ya kienyeji Tandale uzuri!

    ReplyDelete
  14. Aisee hii nikali, bongo tutapona kweli? ila tusishangae kunawenzetu hopo ndio wamefika wanajipatia first aid!!!!!

    mdau Arusha

    ReplyDelete
  15. Bongo kweli tambalale

    ReplyDelete
  16. hahahahahaaaa! du hyo kali... kwani ukiingia hapo tu homa inapanda mala mbili. bongo nomaaa

    ReplyDelete
  17. kama daktari yupo makini sioni ubaya jengo si kitu si mnakumbuka pale MUHIMBILI MOI kuna kilakitu but si kichwa kilikuwa goti na goti kuwa kichwa? sielewi huo uwoga wenu unakuja vipi tunatakiwa kuwa more analitical

    ReplyDelete
  18. macho yangu yameona kuwa kwenye huo mlango mweupe alipokaa huyo kaka ndo pharmacy ila sababu hakuna sehemu ya kuweka tangazo akaona isiwe ishu akaweka tangazo kwenye banda la kuku manake kaona kuna nafasi hapo

    ReplyDelete
  19. Wadau nisaidieni hii famasi iko wapi? unajua mi napendaga sana vitu natural.
    mwanyika

    ReplyDelete
  20. Kwa mimi inaonekana sio pharmacy ni kwamba jamaa kaokota okota mabango ili kujisitili.



    Intellectual heavy weight.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...