Juu na chini ni Waziri wa Mambo ya nchi za nje Mh. Bernard Membe na Balozi Mwanaidi Sinare Maajar wakipata maelezo katika banda la benki ya CRDB ambayo imekuja kunadi account yake ya Tanzanite. Hapo wanapata maelezo toka kwa Meneja Uhusiano wa benki hiyo Bw. Crispin Sichalwe pamoja na Bw. Mchatta wa Unit Trust of Tanzania - Umoja Fund. Bw. Sichalwe atakuwa hapa London kwa muda na namba yake kwa wanaotaka maelezo zaidi ni 0778 80287046 ili kujua marekebisho kadhaa yaliyofanywa katika huduma hiyo


Jamani,
ReplyDeleteHow many financial institutions do we have in Tanzania that can serve diaspora?? Only One bank...CRDB???...I dont think so! How come its the only one participant from financial institution (apart from public BOT, UTT) in this event. I real worry on the organisation of this event.
While I congratulate CRDB for the effort from their tanzanite Account, I call for more information disemination to diasporas on other Finacial facilities available in the country. I have nomber of Banks that offers good service to the diasporas such as online bank facilities, VISA, Master Card facilities, mortgage and other loans...Its good if all these information are given to diasporas.I dont need to mention these institutions
hivi kaka hujajua hii Benki ina kama userekali ndani yake? but mimi naifagilia CRDB kwa sababu inauzalendo ndio mana wako peke yako mstari wa mbele kwenye shughuli za kibongo ugaibuni mabenki mengine hayaji sababu hawana interest nasisi wazawa.Hongera Kimee kutupatia huduma lukuki kama Internet banking, visa card nasikia pia master card inanukianukia pia. Bravo CRDB!
ReplyDeleteCRDB tunashukuru kwa kuja, Kimei wawakilishi wako wametuhabarisha vyakutosha uliwabrush course kwanza kabla yakuja nini,inaonekana bongokuna shule nzuri siku hizi? hivi yule dada marketing manager wa Tanzanite yuko wapi mbona hatujamuona safari hii? kalitudanganyaga hadi basi.
ReplyDeleteAUNCLE HAHISI UMEKOSEA NAMBA NI 7780287046 NDIO NAMBA YA CRDB REP TUMEPIGA HIYO TUMEMPATA UMEKOSEA UKAONGEZA NANE MOJA
ReplyDeleteNi kweli kabisa CRDB wanafanya vizuri na wamekuwa wa kwanza kabisa kuwatafuta diaspora huko nje ili kuwasaidia katika huduma za kifedha. Lakini sasa hivi kuna taasisi nyingi za fedha zaidi ya CRDB. Kuna benk ambazo sasa hivi zinaelekeza sera zake kutoa huduma hii na nyinginezo. Kuna taasisi za fedha zisizopungua 30 sasa. Diaspora wakipata uelewa wao watakuwa na wigo mpana zaidi wa kufanya maamuzi. Pia itasaidia katika financial diversification.
ReplyDeleteKaka michuzi ni vyema wananchi wakaeleweshwa mazingira ta Tanzania ya sasa. miaka mitano au kumi iliyopita iko tofauti kabisa na sasa.
Nawapongeza CRDB na waandaaji wa mkutano ila next time fanyeni utaratibu kuzishawishi Taasis nyingine zishiriki,
CRDB inajitahidi WHAT A "SOLID AND ORGANIC APPROACH"..Mnaona mbele
ReplyDeleteMdau USA