Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Mh. Mwantumu Mahiza akisisitiza jambo wakati wa hafla ya kupokea mipira kwa ajili ya michezo ya umiseta kutoka benki ya CRDB. Kushoto ni mkurugenzi wa huduma mbadala za benki hiyo Bw. Joseph Witts
Mkurugenzi wa huduma mbadala wa Benki ya CRDB Bw. Joseph Witts akikabidhi zawadi kwa Naibu Waziri Mh. Mwantumu Mahiza


Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya Ufundi Mh. Mwantumu Mahiza akipokea Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Bi. Mwamtumu Mahiza akifurahi zawadi ya mipira 50 kwa ajili ya michezo ya Umiseta kutoka kwa mkurugenzi wa huduma mbadala wa benki ya CRDB Bw.Joseph Witts Michezo hiyo ya Umoja wa Michezo ya Sekondari nchini inazinduka mwaka huu baada ya serikali ya awamu ya nne kuamua kuifufua ili kukuza michezo nchini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Caption ya picha ya kwanza imekosewa.Ilitakiwa iwe kama ule wimbo wa taarab wa zama zile ulivyokuwa ukisema: "Yapata hivi, na mkono tele, ikabakia."

    ReplyDelete
  2. CRDB BANK,ni wazushi,wameshindwa kufanya marketing nzuri UK na hatimaye yake wamepoteza direction ya Tanzanite UK,tunasikia wanakuja kwenye diaspora next week,je kufanya nini?wanakula public fund tu na kufanya shopping uk,kama wanakuja watueleze wanakuja kutoa nini kipya na pia tuambiwe wale mawakala wa UK wako wapi,na kama waliwafukuza watuambie sababu concrete siyo mzaa,wale wote tuliolipa pound 10 za kufungua card basi tujitokeze kwa wingi ili tujibiwe hoja zetu pale pale,hatutaki mzaa na upuuzi wa CRDB BANK.bank kama crdb inatakiwa iwe na code zake ,na pia walipokuwa wameanzisha tanzanite walitakiwa wafanye visibility studies kuona kama kuna benefit au la.

    MDAU KUTOKA LONDON UK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...