NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mh. Christopher Chiza akizindua mradi wa kilimo cha umwagiliaji wa Mwangomole katika kijiji cha Kwala wilayani Kibaha mkoa wa Pwani ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya maji nchini. Shoto ni Mkuu wa wilaya ya Kibaha Hajat Halima Kihemba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hongera sana eng.kwa kazi nzuri unayoendelea kufanya. kila la kheri

    ReplyDelete
  2. Ifike pia muda kabla ya kusema hongera tuseme pia amechelewa sana kufanya alichofanya huko kibaha..... tanzania hii ina mito maziwa na mabwawa yenye maji .... wtaalam anao na wahitaji wa miradi hio ni lukuki.... Mr engineer na wataalam wake walikuwa wapi muda wote huu na sasa wana mpango gani usiku umeingia... Ok hongera anyway...

    ReplyDelete
  3. siku ya maji nchini imejaa aibu kubwa wakati sehemu nyingi za mijini hazina maji -reliable- kwa maana ya uwepo kwa wakati na hata usalama wake kwa matumizi ya kawaida kwa wadau.... Je tunafanya nini? kuliondoa hili! zaidi ya miaka 40 sasa ya uhuru...!

    ReplyDelete
  4. Hivi kila siku miradi miradi, mbona hatuoni faida.Kila siku wananchi wanalalamika hawana maji,umeme na bado miradi inafunguliwa kila kona.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...