Makamu wa Rais Dk. Shein akimsikiliza Mkurugenzi wa Miradi wa PharmAccess Bw. Geert Haverkamp akimwelezea miradi mbalimbali afya kuhusu UKIMWI inayofanywa na PharmAccess katika majeshi ya Tanzania kupitia fedha za watu wa Marekani kupitia shirika la USAID na PEPFAR. Hii ilikuwa ni uzinduzi wa kituo cha afya cha JKT Mafinga huko Iringa wakati Makamu wa Rais alipotembelea hivi karibuni. Kituo hicho kilifanyiwa ukarabati na Idara ya Ulinzi ya Jeshi la Marekani (DOD) kupitia PharmAccess Foundation.
Home
Unlabelled
dk shein atembelea JKT Mafinga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


It reminds me of those old days (hard ones) when there was Mafinga, Afande and there was also was Nyahenge - is that Changarawe, where mirabas bordered the horizons? A guy called Mpogole Mpilano Nico Kimbunga made my life a hell on earth - as did Ntare, the commando. Did anybody else go through a hell?
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteHapo unanikumbusha enzi zetu za JKT hapo Mafinga OPERESHENI OKOA miaka ya 80.
Unanikumbusha mashamba ya IDETERO na DUBLIGANGA.
Huku kuna Afande Adamu, huku Afande NUSU MUNGU, huku Afande Abdala, huku Afande LUBEGA.
Hapo ndo BIGULA la kwenda kuzima moto lishalia, we acha tu!
Watoto wa DOT KOM wanakosa kweli uhondo huu!