MECHI HII SASA ITARUDIWA JUMAPILI YA TAREHE 14 MACHI KWENYE UWANJA HUO SAA TISA MCHANA. uWANJA ULIJAA MASHABIKI NA MECHI ILIKUA YA KUVUTIA SANA IKIZINGATIWA MICHUANO HIYO HAIKUWA NA MDHAMINI HATA MMOJA
MDAU WA KIKAPU
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bongo nini? Tambarare
ReplyDelete(US Blogger)
Hata huku Lakers walikuwa wanacheza na Celtics umeme ulikatika ni vitu vya kawaida hivyo hata huku majuu.uzuri Kobe alikuja na generators hivyo game iliendelea kama kawaida...bongo tambarare..
ReplyDeleteumeme ulikatika jumapili ithink almost nchi nzima mayb maeneo machache tu
ReplyDeletemuda wa jioni adi saa 3/4 usiku
why no taarifa tanesco?maana kuna mengi ati hii nchi ati!!!
ndugu zangu sisi huku visiwani mbona giza tushalizoea? infact kwa sasa tumeanza kulalamika kuwa tumeanza kupata umeme, tunataka giza letu!!!!!
ReplyDelete