MECHI YA LIGI YA MPIRA WA KIKAPU MKOA WA DAR ES SALAM AMBAYO ILIFANYIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA JIJINI JUMAPILI TAREHE 7 MACHI, ILISHINDWA KUMALIZIKA KUTOKANA NA KUKATIKA KWA UMEME. MECHI HIYO ILIYOWAKUTANISHA KATI YA SAVIO (DON BOSCO) NA PAZI ILIJIKUTA IKIISHIA DAK YA 2 YA QUARTER YA MWISHO HUKU SAVIO KUPITIA KWA WASHAMBULIAJI WAKE JIJE MAKANI, ENULE, GEORGE TARIMO NA MOHAMED YUSUPH WAKIONGOZA KWA POINTI 55 DHIDI YA POINTI 38 ZA PAZI AMBAO WAFUNGAJI WAKE WALIONGOZWA NA ADAM JEGAME

MECHI HII SASA ITARUDIWA JUMAPILI YA TAREHE 14 MACHI KWENYE UWANJA HUO SAA TISA MCHANA. uWANJA ULIJAA MASHABIKI NA MECHI ILIKUA YA KUVUTIA SANA IKIZINGATIWA MICHUANO HIYO HAIKUWA NA MDHAMINI HATA MMOJA

MDAU WA KIKAPU

Pazi team

Don Bosco
mashabiki
mashabiki

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Bongo nini? Tambarare

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  2. Hata huku Lakers walikuwa wanacheza na Celtics umeme ulikatika ni vitu vya kawaida hivyo hata huku majuu.uzuri Kobe alikuja na generators hivyo game iliendelea kama kawaida...bongo tambarare..

    ReplyDelete
  3. umeme ulikatika jumapili ithink almost nchi nzima mayb maeneo machache tu

    muda wa jioni adi saa 3/4 usiku

    why no taarifa tanesco?maana kuna mengi ati hii nchi ati!!!

    ReplyDelete
  4. ndugu zangu sisi huku visiwani mbona giza tushalizoea? infact kwa sasa tumeanza kulalamika kuwa tumeanza kupata umeme, tunataka giza letu!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...