Uncle Michuzi mbona wewe ni Mtu mwema na tunamuomba Mungu azidi kukupa uzima lakini umetufanyia roho mbaya kwani tulikutumia picha ya Dada yetu Maria Doris wa Isamilo Mwanza aliyekuwa na siku ya kuzaliwa kwake tarehe 06/03/2010 lakini hukuirusha.
Tunajua ilitokea hivyo kutokana na majukumu mengi uliyonayo tunakutumia tena na tunaomba uipaishe kwenye glob yetu hii.
Ni Sisi Wajomba zako,
David, Doreen & Daniel
Happy Belated Birthday Da Maria Doris
ReplyDeleteHappy Birthday ya kuzaliwa? Sounds so owkward!
ReplyDeleteanony Wed Mar 10, 01:53:00 AM, ebu ongea lugha tunayoijua. sasa owkward ndio nini?
ReplyDelete