Home
Unlabelled
KILIMO KWANZA: TREKTA INAUZWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kama ni kilimo kwanza kwa nini ww unaiuza siukatumie kulima,kilimo kimedoda unataka kuwavalishia watu mkenge na hicho kimeo
ReplyDeletetoo expensive incar wanauza brand new tractor iveco kwa $22,000/=
ReplyDeleteWewe anonymous wa kwanza sasa kwa nini unaponda bila ya hoja.
ReplyDeleteKwani mtu akiuza gari utaweza kukataa kwanza gari muhimu?
Kama ana ma trekta ya ziada, ama anaagiza mapya na anauza la zamani, kama kashinda bingo na hataki tena kulima?
Kwa nini kila siku tunakuwa na suspicious tu za kusukumiwa mikenge?
Yani sisi ni kupondana tu!!!
(US Blogger)
Nadhani bei ni fair, kwani model ni ya 1990 na ni 4 Wheel drive. Matrekta mengi si kama magari, matrekta ya 1980's yanapiga mzigo kwa kwenda mbele.. hivyo ya 90's ni poa sana. Na kama picha ni ya mwaka huu, basi kwa nje linaonekana safi.
ReplyDeleteBei ya MASSEY FERGUSON 3080 ambayo nadhani ndio kama hiyo, za mwaka 1988 (used) kuendelea zinaanzia GBP 6000 hadi GBP 15000 kutegemeana na upya. Hivyo kama kuna mteja, usikatishwe tamaa.
kwa hiyo bei hutapa mtu hata ukiipunguza kwa asirimia hamsini maana mimi majuzi nimenunua incar kwa milioni21. sembuze uozo huo?
ReplyDeleteWewe anony wa frid mar 04 saa 12:53 kama unaona ni too expensive na Incar wanauza $ 22,000 si ukanunue huko!!!! Na kwamba ni lazima utoe comment???/
ReplyDeleteMimi nalipenda hilo Terekita lakini tatizo lina jina la kocha ambaye ni mpinzani wa timu yetu.
ReplyDeleteWaswahili bwana. Bei hutaja tu figure bila hata kufikiri. ww unuza tracta hiyo mill 26 kweli!!! tractor za aina hiyo model 165 ambayo ni kubwa sana ina uwezo mkubwa wa kufanya kazi ni mil.24. Hiyo kalimie mwenyewe. Unataka shida zako zote uzimalizie kwenye kimeo chako. Ndio maana huwezi kuendelea unawauzia watu vimeo. Laana hiyoooooooooooooooooo!
ReplyDeletekuna trect kama hii inauzwa pamoja na magari megine angalia http://www.swahilinet.com
ReplyDeleteJe, hiyo tractor ni MF original au copy ya India/Pakistani? Bei inategemea na wapi tractor inatoka. Tujifunze kujua ubora wa vitu na bei zake. Zipo Tractor hadi za $15K kama unataka lakini ni mashipa! Sasa hao Incar wanauza original products? Hii inayouzwa ni Original au? How can you get original 1990 model new wakati hao Massey Ferguson wenyewe hawazitengenezi tena? acheni kutokutumia akili! Wahindi wanawaibia hadi leo! (AIBU JAMANI!!)
ReplyDeleteni horse power ngapi? najua sh.26m ni kuanzia 125hp. tafadhali nijulisha nichukue
ReplyDeletesikutegemea kuumwa mbavu kwenye hizi comment hapa ila we mdau wa saba kutoka juu umeniua kabisaa acha tu!! hii blogu ni burudani kabisaaa
ReplyDeletekuna annon apo juu kapinda? yani umedata wee annon sina mbavu apa hahahahahaha eti jina la kocha adui hahahahahaa
ReplyDeletekilimo kwanza?wapi na wapi weweee!
ebu mchekini Fri Mar 05, 07:58:00 AM
wewe annon wa Fri Mar 05, 07:37:00 AM, inaonesha ndiyo uliyeweka hili tangazo, ama unahusika kwa namna moja ama nyingine na hii biashara, kwanini ikuume mwenzako kusema unaweza ukanunua incar kwa $22,000?
ReplyDeleteNATAFUTA KIWANJA NIJENGE KARIBU NA ANKAL KAMA KITAPATIKANA NAOMBA NIPEWE TAARIFA KUPITIA BLOB YA JAMII
ReplyDeleteNATAKA KUWA JIRANI WA ANKAL ILI KILA AKIENDA KWENYE MINUSO ANIPITIE NAMIMI NIKAPATE MAANKULI
MWANA HARAKATI WA KUJENGA TAIFA MIAKA YA 2025 NAWAKILISHA.
Namm nauza trecta VALMET 502 iko vyema kabisa haina jembe ina tela one kick kituo mbal 4wheel ful, mil 16 tuu iko muheza tanga, 0652282704
ReplyDeleteJamani natafuta trekta la m15 mtu yeyote mwenye taarifa anijuze kwa mamba hii 0676147111
ReplyDeleteJamani natafuta trekta nzuri for 15m Massey Ferguson 165/175 for info nijulishe kwa 0762385649
ReplyDeleteJamani natafuta trekta nzuri for 15m Massey Ferguson 165/175 for info nijulishe kwa 0762385649
ReplyDeleteNauza massey ferguson mf 165 imetoka denmark nguvu horse power 65
ReplyDelete