MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mwenyekiti wa Jumuiya ya ZAYEDESA Mama Shadya Karume na ujumbe wake wakitembelea sehemu ya kufugia aina ya Makombe ya bahari katika Wilaya ya Xiangan mjiniwa Xiamen leo.
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Shadya Karume akiuliza kitu alipotembelea eneo la kufugia chaza, akiwa katika ziara yake Wilaya ya Xiangan katikati ni Kiongozi wa Xiangan Municipal Goverment, katika mjini wa Xiamen, Ke . Zhimin leo.
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Shadya Karume akibadilishana akieleza jambo katika Wilaya ya Xiangan alipotembelea kuona miradi ya Wanawake wa wilaya hiyo.
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Shadya Karume akibadilishana mawazo na wanyeji wake wakati wa chakula chakula cha mchana alichoandaliwa katika wa Wilaya ya Xiangan alipotembelea kuona miradi ya Wanawake wa wilaya hiyo.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mama Karume i luv ya, you are truely Gogious and far too kind.
    Stay blessed in your upcoming retirement.
    -Zuberi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...