Home
Unlabelled
mh. chiza azindua mradi wa kilimo cha umwagiliaji kibaha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera sana eng.kwa kazi nzuri unayoendelea kufanya. kila la kheri
ReplyDeleteIfike pia muda kabla ya kusema hongera tuseme pia amechelewa sana kufanya alichofanya huko kibaha..... tanzania hii ina mito maziwa na mabwawa yenye maji .... wtaalam anao na wahitaji wa miradi hio ni lukuki.... Mr engineer na wataalam wake walikuwa wapi muda wote huu na sasa wana mpango gani usiku umeingia... Ok hongera anyway...
ReplyDeletesiku ya maji nchini imejaa aibu kubwa wakati sehemu nyingi za mijini hazina maji -reliable- kwa maana ya uwepo kwa wakati na hata usalama wake kwa matumizi ya kawaida kwa wadau.... Je tunafanya nini? kuliondoa hili! zaidi ya miaka 40 sasa ya uhuru...!
ReplyDeleteHivi kila siku miradi miradi, mbona hatuoni faida.Kila siku wananchi wanalalamika hawana maji,umeme na bado miradi inafunguliwa kila kona.
ReplyDelete