Home
Unlabelled
mkungu wa ajabu pemba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Acha uongo hapo siyo Pemba bali hapo ni Bukoba kaitka kijiji cha Kibeta. Pemba hawana jeuri ya kuwa na mgomba kama huo hapo juu. Hiyo picha niliipiga mimi mwenyewe
ReplyDeleteuongo bwana, hakuna mkungu kama huo huko zenji.
ReplyDeleteAsante sana ankal kwa taswira hii ya ndizi kutoka kule Pemba.Je aina hii ya ndizi haiwezi kuwafikia wakulima wengine wa ndizi?
ReplyDeletekwa walio wenye familia kubwa mmmm sina hakika kama hiyo sentensi iko sahihi...but huo mkungu ni noma....lichimbwe shimo uendelee hadi utakapojiskia maana hapo naona kama wameukatili
ReplyDeleteacheni ujinga hayo mambo ya photosssss kwa wale anaojua hawana comenty yoyote, asante michuzi wape shule hao!!!!!
ReplyDeleteMh jamani huu sasa mzahaa asee.. si hali ya kawaida hiyo kha!!
ReplyDeleteRabia
Asante wachapishaji.
ReplyDeleteComment zangu: huyo anaesema hakuna ndizi Pemba ziko bukoba tu basi kipofu au hazimo,
2. basi aseme pia hakuna watu wanaoishi huko ili kumfurahisha. Na ingekua vizuri mtu akiambiwa ndizi hizi kutoka Pemba , asirukie kusema ahhh Zanzibar,kwani ni visiwa vya zanzibar na pemba na lazima ajue tafauti ya majina na maumbile ya ardhi.
3.Kama mkulima au mtaalamu hili lisingempitia nyuma ya kisogo mtaalam yeyote
Ninavyowajua waganguzi,hapa watakuwa wanadanganya watu kuwa kuna mizimu,mara kuna baraka mara kuna hili ,mara lile.Uongo mtupu nikutaka kuibia watu kwa ujanja ujanja tu.Hii ni hali ya maumbile yasiyokuwa ya kawaida ,kama inavyotokea kwa watu ,wanyama wala haina uhusiano na mizimu wala chochote.MSIDANGANYIKE!!!!!!.
ReplyDeletemi nataka kumuuliza huyo aliyesema kuwa Pemba hawana jeuri hiyo.hivi imehusu na nini kufananisha jeuri za pemba na bukobaaa????????????? ama ni kutaka kuonyesha uracist kwenye mkungu wa ndizi? kijana jaribu kutumia ulimi wako vyema usiwe unapayuka tu. wacha kukosoa ardhi wakati hujui madini yake..haya huo umetokea bukoba na huyo aloandika kuwa umetokea huko alikuwa haoni au kagaiwa picture? basi atokee mwengine aseme mkungu huu wa ndizi umetokea Moshi machame..angalia kauli kijana utaumbuka.usiwe na kauli chafu kama mkojo.
ReplyDeleteDuh kuna haja ya migomba nayo kutumia dawa za uzazi wa mpango.
ReplyDeleteNdugu zanguni,
ReplyDeleteHuo mkungu hauko Tanzania, Pemba. Uko nchini Malaysia - sehemu inaitwa Kerala. Angalia hapa:-
http://images.google.com/imgresimgurl=http://www.malayalamrocks.com/fun/wpcontent/uploads/2009/12/keralabanana.jpg&imgrefurl=http://www.malayalamrocks.com/fun/biggest-banana-foundinkerala/&usg=__kOofbktjaA3MAQRhKNR4C5CE0SU=&h=666&w=499&sz=336&hl=en&start=3&sig2=MXAAMjQhplsfnOfwWPbGHg&um=1&itbs=1&tbnid=wBdNTAD-c4T_IM:&tbnh=138&tbnw=103&prev=/images%3Fq%3Dlargest%2Bbanana%2Bbunch%26um%3D1%26hl%3Den%26client%3Dsafari%26sa%3DN%26rls%3Den-us%26tbs%3Disch:1&ei=qgiQS8z5BY3atAOJwNSsCA
JAMANIII TUAMKE SASA. KAMA KWELI HUO MGOMBA UMEANGUSHA HUO MKUNGU, WATU WACHAMGAMKIE KWENYE GUINESS WORLD RECORDS NA KUIWEKA ZENJI KATIKA HISTORIA YA KUWA NA MMEA WA AJABU KAMA HUO. TUAMKE JAMAA WATU WANACHUKUA MISHIKO YA REKODI KWA KUPUNGA MAKAMASI SEMBUSE HUO MGOMBA?
ReplyDeleteWadau (Tarehe Thu Mar 04, 04:05:00 PM) na (Thu Mar 04, 06:00:00 PM) acheni JAZBA hapa hakuna tusi ama nini hapa ni katika kuchangia kufurahisha watu tu. Sasa vitisho na matusi ya nini acheni "Inferiority complex" inawaandama mpaka kwenye vitu vidogo. Umaarufu wa ndizi ni Bukoba, Moshi na Mbeya kwa Tanzania,ingawa sehemu nyingine zalimwa pia hii inajulika mahoteli wauliza ndizi za moshi ama Bukoba. Ni sawa na kusema karafuu zatoka Mbeya na Mpemba akitania kuwa ni wa Pemba siyo tusi. JAZBA zawafanya hata msisome vizuri hakuna aliyesema hakuna ndizi pemba, Acheni utoto wa kutishia watu nyau.
ReplyDeleteKha jemen,Manyoooooyaaaaa tena!
ReplyDeleteKWENYE UKURASA WA KWANZA WA GAZETI LA JAMBO LEO LA LEO IJUMAA MACHI 5,2010 IPO PICHA KUBWA YA HUU MKUNGU NA MAADOKEZO YAKE.HII DAHANA YA KUINGILIA UUMBAJI WA MUNGU KWA KUKEJELI MAENEO FULANI SI BUSARA SANA.OMBI LANGU NI AINA HIYO YA MIGOMBA KUSAMBAZWA KWA WAKULIMA ILI IWASAIDIE KWA LISHE NA UCHUMI WA FAMILIA.
ReplyDeleteMdau wa Thurs Mar 4 10:45 Mkungu huo ni kutoka India.
ReplyDeleteKerala iko South India na sio Malaysia. Mimi nilishaona picha hiyo kama miezi sita nyuma.