Home
Unlabelled
msongamano wa magari barabara ya chalinze - segera
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
DU, HII HIGHWAY YETU HATA KICHOCHIORO KIPANA. NDIYO MANA TUNAKUFA KAMA MBWA VILE, HALAFU TUNALAUMU MADEREVA. NAONA TUZIITE "DEATH HIGHWAYS". 40+ YRS BAADA YA UHURU BADO TUNA HIGHWAYS ZILIZODISIGNIWA NA WAKOLONI, HALAFU TUNAJIITA WASOMI. HATA KUKOPY ANA KUPASTE MAENDELEO TUNASHINDWA. KWELI BONGO TAMBARARE. BONGO HOYEEEEEEEEEEEEEEE
ReplyDeletePolen. sasa we mpiga picha mbona hujatuonesha picha za hilo contena lililoanguka na wakati likinyanyuliwa? au we uliondoka kwa miguu kabla hawajanyanyua.
ReplyDeletewe mdau wa 21:00 pm
ReplyDeletetunakusubiri wewe utulete maendeleo toka uhuru watu wa miaka 40 so fanya chap chap wacha kulaumu tuonyeshe umefanya nini kama mtanzania mzalendo katika nchi yako.
bado kidogo tu tataanza foleni hadi kwenye ndege angani, hii nchi usafiri karaha kweli kweli!
ReplyDeleteDu! yaani barabara nyembamba kweeli kweli, halafu magari mawili yapishane yakiwa spidi 150km/saa lazima watu wafe.
ReplyDeleteMdau
Dayaspora
sasa hapa tukisema watanzania tubadilike hii barabara ni muhimu sana. kwanini tusipanue na kuzifanya nne. Mbili kwenda na kurudi. Na ndiyo maana kulikuwa na treni za abiria na mizigo kutoka DAR/Arusha lakini wajanja wakaona hazifai haya malori yangekuwa machache kwenye hizi barabara hata ajali zingepungua kutokana na ushindani wa kibiashara. Mbona nchi za watu wengine treni ni usafari wa kutegemewa sana?
ReplyDeleteBONGO HAMNA WASOMI WALA NINI WOTE MAFISADI TU NDO WAMEJAA,
ReplyDeleteSISI NI WADANGANYIKA FULL STOP