Home
Unlabelled
muhtaji mbaraka mwinshehe akiwa kazini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wanawake wanaweza sana.
ReplyDeleteHongera dada.
disminder
ankal mimi dada namzimia sana kwa sanaa yake hiyo.then full respect hata mavazi yake ni yaheshima tu popote pale umuonapo.sasa ankal naomba siku umtafute ufanye nao mahojiano hapa blog ya jamii,ili tujue historia yake kwa ufupi,kama kaolewa,au ana watoto,au kama anamiliki bend kwa sasa na je bado wanafaidika na kazi za baba yao ?
ReplyDeletentashukuru sana ankal
Ankol Michuzi, nashukuru kwa video hii, maana nilikuomba utuwekee na kwa kweli nimeburudika binafsi. Bila shaka dada yetu kipaji ni cha kuzaliwa nacho kama urithi kutoka kwa gwiji wa mziki marehemu baba yake na huyu dada. Namtakia kila la heri!!
ReplyDeletesafi sana mama, yaani we acha tu, mimi ni mwanamke niko huku ughaibuni yaani nikiwaona wanawake wenzangu walivyosonga mbele navutiwa sana yaani sina la kusema. yale mambo ya zamani kuwaona wanawake ni wa kukaa nyumbani tu jamani imepitwa na wakati kabisa. nyie wanawake mnaojidai ni wanawake wa ndoa haya shauri zenu sisi tunasonga mbele hata mtuite majina yote siku mkishtuka mmechelewa, wanawake hoyeeee
ReplyDeleteMtoto wa Simba ni Simba hongera saaaaana Binti Mwaruka...
ReplyDeleteBaba yako alikua NGUZO ya Muziki Afrika Mashariki na Kati...
Tunakutakia uzidi kusukuma Libeneke la urithi wa BABA #1 Solist
Wadau wa Scandinavia