Mgeni rasmi, Katibu Tawala Wilaya ya Kinondoni, Bw. Patrick Marceline akiongozwa kuzindua makao makuu mapya ya Tanzania House of Talent (THT) maeneo ya Ada Estate 'mnara wa voda' jijini Dar karibu na viwanja vya Leaders Club. Awali THT walikuwa wakifanyia shughuli zao mtaa wa Morocco.
Mgeni rasmi akikata utepe kuzindua makao makuu mapya ya THT akishuhudiwa na Mkurugenzi mkuu wa nyumba hiyo ya vipaji, Ruge Mutahaba (kuume) na Afsia Mtendaji wa eneo hilo
Mratibu wa THT Bi. Rebecca Young akihutubia
ankal akila konozzz na mratibu wa THT Rebecca Young (kati) na Neema Kambona

ankal na wadau huku jasho likimtoka unaambiwa. shughuli ilikuwa nzito
wana Clouds FM walimiminika kwa wingi
Toka shoto ni Dina Marios, Fina Mango na Zamaradi Mketema
Mkurugenzi Mkuu wa THT Ruge Mutahaba akitambulisha baadhi ya wadau muhimu waliosota na THT toka inaanzishwa Mzee Mzima MC Mavunde alikuwepo kutia baraka
Wasanii nyota Mwansiti na Marlaw, ambao ni matunda ya THT, wakitumbuiza










Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Ankal next time make sure that unavaa fulanazzz nyepesi kwa ndani angalau ihelp kufyonza majimaji yanayotoka mwilini baada ya kufanya misele ya nguvu. Vipi viyoyozi vilibreak down nini? I hope uliapply angalau deoderant kwenye kikwapa? Pole kwa shughuli anyway matunda tunayaona haujatuacha nyuma.
    Mdau wa damu USA

    ReplyDelete
  2. BIG UP MKUBWA, ila wainkareji wengine nao waweze kuiga mfano wako na pia Talent House zikiwa nyingi ndio kutakuwa na chalenji sana na maendeleo yatakuwa kwa haraka kaka na pia MIKATABA ISIWABANE SANA WALEGWA.

    ReplyDelete
  3. Mlipeni mr. Sugu hela zake za Zinduka

    ReplyDelete
  4. USHAURI WA BURE...ANKAL MAJASHO HAYO UTAKUA HUPATI DEMU CLUB...KWANI MADEMU HAWAZIMII MIJITU INAYO TOKA JASHO CLUB.USINIBANIE HII COMMENT NI KW FAIDA YA WOTE.

    ReplyDelete
  5. Je MrII alialikwa Ankal? ama ndio mambo ya ubaguzi wa wadau wa tasnia ya THT??

    ReplyDelete
  6. Ankal, shati inaonyesha ilikuwa imechomekewa hapo mwanzo, kwa nini sasa imechomolewa?!.
    Mdau Pasco wa JF.

    ReplyDelete
  7. wewe anon wa Wed Mar 03, 04:38:00 PM kwani ankal amekuambia anatafuta madem?,ankal nakupa big up unaonekana wewe ni mzee wa kazi sio bitoz kama watu wanavyotaka uwe hivyo ndio inatakiwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...