Mgeni rasmi, Katibu Tawala Wilaya ya Kinondoni, Bw. Patrick Marceline akiongozwa kuzindua makao makuu mapya ya Tanzania House of Talent (THT) maeneo ya Ada Estate 'mnara wa voda' jijini Dar karibu na viwanja vya Leaders Club. Awali THT walikuwa wakifanyia shughuli zao mtaa wa Morocco.
Mgeni rasmi akikata utepe kuzindua makao makuu mapya ya THT akishuhudiwa na Mkurugenzi mkuu wa nyumba hiyo ya vipaji, Ruge Mutahaba (kuume) na Afsia Mtendaji wa eneo hilo
Mratibu wa THT Bi. Rebecca Young akihutubia
ankal akila konozzz na mratibu wa THT Rebecca Young (kati) na Neema Kambona







Ankal next time make sure that unavaa fulanazzz nyepesi kwa ndani angalau ihelp kufyonza majimaji yanayotoka mwilini baada ya kufanya misele ya nguvu. Vipi viyoyozi vilibreak down nini? I hope uliapply angalau deoderant kwenye kikwapa? Pole kwa shughuli anyway matunda tunayaona haujatuacha nyuma.
ReplyDeleteMdau wa damu USA
BIG UP MKUBWA, ila wainkareji wengine nao waweze kuiga mfano wako na pia Talent House zikiwa nyingi ndio kutakuwa na chalenji sana na maendeleo yatakuwa kwa haraka kaka na pia MIKATABA ISIWABANE SANA WALEGWA.
ReplyDeleteMlipeni mr. Sugu hela zake za Zinduka
ReplyDeleteUSHAURI WA BURE...ANKAL MAJASHO HAYO UTAKUA HUPATI DEMU CLUB...KWANI MADEMU HAWAZIMII MIJITU INAYO TOKA JASHO CLUB.USINIBANIE HII COMMENT NI KW FAIDA YA WOTE.
ReplyDeleteJe MrII alialikwa Ankal? ama ndio mambo ya ubaguzi wa wadau wa tasnia ya THT??
ReplyDeleteAnkal, shati inaonyesha ilikuwa imechomekewa hapo mwanzo, kwa nini sasa imechomolewa?!.
ReplyDeleteMdau Pasco wa JF.
wewe anon wa Wed Mar 03, 04:38:00 PM kwani ankal amekuambia anatafuta madem?,ankal nakupa big up unaonekana wewe ni mzee wa kazi sio bitoz kama watu wanavyotaka uwe hivyo ndio inatakiwa.
ReplyDelete