Home
Unlabelled
uwanja wa mwanza wapigwa deki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Baada ya ajali sio.Yaani Tz kwa kufanya kazi zake kwa kudra za mwennyezi Mungu, hawajambo. Sasa bahati nzuri ajali haikuwa na majeruhi au vifo. Tambarare kwelkweli.........
ReplyDeleteso what iz zis zen Ankal , changa la machoo ..ama kweli wabongo kalaga baho!! ...Hii ni eapoti muhimu sana kwa Taifa letu lakini mazingira yake na the way unavyoendeshwa ni very pua.. Tuko sirias na mkakati wa kufikia malengo ya milenia kweli, hawa investa tuanaowataka wataendelea kuwekeza katika mazingira ya namna hii kama miundombinu ya msingi kwa ajili ya uwekezaji tunaifanyia mzaha kama hivi....
ReplyDeleteHaya bana, mi sirudi tena huko kazi kwenu wenye nchi..
Maliaga, TNT
annon 4:36 pm kabisa unalazwa siku 3/4 eti ndege ina hitilafu sijui nn ok unakubali tu ufanyeje mwsiho umwagwe km iyo ATC,,,ila usipoondoka na ndege izi mapema siku 3 kabla ya safari ya nje UTAKOMA KULINGA
ReplyDeletendege zenyewe apo unachelewa unakimbilia kudandia km daladala injini zinawaka na bado wanapandisha abiria,,,hahahahaa
mbona hii kawaida sana nyie??ivo mnavoona aaaah kawaiiida,,,na apo hawajali time la abiria wala nn utajiju na kuondoka mwenyewe adi wamalize,,,ndege kuingia dar saa 7 usiku kawaida,,,
tutafika tu taratibu
Siku natoka mwanza tulijazana mpaka habiria wengime walisimama kwenye ndege, BONGO Tambarare.
ReplyDeleteabilria wamesimama...dah hiyo kali..lakini hao viumbe wana akili kweli...yaani uwanja una kokoto namna hiii????kudadake>>>
ReplyDeletewell done kikwete
ukiangalia ktk picha wanaofanya kazi ni wawili /ama watatu tu, weingine wamesimama simama tu utazani ni ujiko kuonekana eneo la eapoti
ReplyDeleteMh jamani namna hii!mbona bado tuko mwaka 47,si bora upande basi la ekspres/lakshari!
ReplyDeletewatu wa mwanza wanapenda kuuza sura km ivi sana tu...
ReplyDeleteyani ujinga umejaa mikoani?bora tuje tuwatoe tongotongo
sasa mbona wanaweka changalawe/moram sijui????????