Kaka michuzi mambo vp!
ebwana hebu rusha hii wadau waone manake tuko airport toka asubuhi mpaka mchana huu hapa Mwanza na hakuna ndege inayotua wala kuruka kwani uwanja unapigwa deki kutoa maji
Mdau Jamal

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Baada ya ajali sio.Yaani Tz kwa kufanya kazi zake kwa kudra za mwennyezi Mungu, hawajambo. Sasa bahati nzuri ajali haikuwa na majeruhi au vifo. Tambarare kwelkweli.........

    ReplyDelete
  2. so what iz zis zen Ankal , changa la machoo ..ama kweli wabongo kalaga baho!! ...Hii ni eapoti muhimu sana kwa Taifa letu lakini mazingira yake na the way unavyoendeshwa ni very pua.. Tuko sirias na mkakati wa kufikia malengo ya milenia kweli, hawa investa tuanaowataka wataendelea kuwekeza katika mazingira ya namna hii kama miundombinu ya msingi kwa ajili ya uwekezaji tunaifanyia mzaha kama hivi....

    Haya bana, mi sirudi tena huko kazi kwenu wenye nchi..

    Maliaga, TNT

    ReplyDelete
  3. annon 4:36 pm kabisa unalazwa siku 3/4 eti ndege ina hitilafu sijui nn ok unakubali tu ufanyeje mwsiho umwagwe km iyo ATC,,,ila usipoondoka na ndege izi mapema siku 3 kabla ya safari ya nje UTAKOMA KULINGA
    ndege zenyewe apo unachelewa unakimbilia kudandia km daladala injini zinawaka na bado wanapandisha abiria,,,hahahahaa

    mbona hii kawaida sana nyie??ivo mnavoona aaaah kawaiiida,,,na apo hawajali time la abiria wala nn utajiju na kuondoka mwenyewe adi wamalize,,,ndege kuingia dar saa 7 usiku kawaida,,,

    tutafika tu taratibu

    ReplyDelete
  4. Siku natoka mwanza tulijazana mpaka habiria wengime walisimama kwenye ndege, BONGO Tambarare.

    ReplyDelete
  5. abilria wamesimama...dah hiyo kali..lakini hao viumbe wana akili kweli...yaani uwanja una kokoto namna hiii????kudadake>>>

    well done kikwete

    ReplyDelete
  6. ukiangalia ktk picha wanaofanya kazi ni wawili /ama watatu tu, weingine wamesimama simama tu utazani ni ujiko kuonekana eneo la eapoti

    ReplyDelete
  7. Mh jamani namna hii!mbona bado tuko mwaka 47,si bora upande basi la ekspres/lakshari!

    ReplyDelete
  8. watu wa mwanza wanapenda kuuza sura km ivi sana tu...

    yani ujinga umejaa mikoani?bora tuje tuwatoe tongotongo

    sasa mbona wanaweka changalawe/moram sijui????????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...