Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania kupitia Mfuko wake wa kusaidia jamii wa Vodacom Foundation, umetoa msaada wa Kompyuta 20 zenye thamani ya shilingi Milioni 14 pamoja na kuunganisha mtandao wa internet kwa shule mbili za Sekondari ya Shelui na Isuna zilizoko Lindi Vijijini ili kuboresha sekta ya Elimu katika shule hizo.
Akikabidhi msaada huo kwa Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Meneja wa Mfuko huo Yessaya Mwakifulefule alisema kwamba msaada huo ni mwendelezo wa awamu ya tatu ya Mradi wa Ugawahi kompyuta kwa shule za sekondari za vijijini. Katika awamu ya kwanza na ya pili jumla ya shule 30 kutoka mikoa tofauti 15 zilifaidika katika mradi huu.
Alisema huu ni mwanzo tu kwani Vodacom Foundation itaendelea kutoa misaada ya kompyuta katika shule za mikoa mbalimbali hapa nchini ikiwa unalenga kutoa wimbi la uduni wa Teknologia ya kompyuta na kuinua elimu na kuisaidia serikali kama sekta binafsi siyo kuiachia serikali pekee lazima tuwe pamoja kuendeleza misingi iliyobora ya elimu.
Naye Mkuu wa Wilaya, akipokea msaada huo aliishukuru kampuni ya Vodacom kupitia mfuko wake huo na kusema sera ya ushirikishwaji wa sekta binafsi katika kutoa misaada mbalimbali ya kuiokoa jamii kama Vodacom ni mfano wa kuigwa na mashirika mbalimbali ili waweze kuisaidia serikali na wananchi wanaopatwa na upungufu wa vitu muhimu katika jamii.
“Serikali imeweka sera nzuri za uwekezaji ili kuhakikisha kwamba uwekezaji una kua na wawekezaji pia wanapata fursa ya kuchangia maendeleo ya sekta ya kijamii nchini’
Alisema hivi sasa bila teknolojia ya kisasa amna maendeleo na alichukua frusa hiyo ya kuwaasa wanafunzi wazitunze kompyuta hizo na kuzitumia vizuri kwani mpo sambamba na shule zailizoko mjini sasa.

kweli thamani ya computer 20 ni mil 14 tsh???? tena sio flat screen au ndio kujikosha?
ReplyDeletehaya makompyuta yenye uchogo kumbe bado yapo?
ReplyDeleteshame on vodacom hata mimi huo msaada naweza kuutoa kila mtu anatafuta sehemu ya kuyatupia they no longer have a monetary value
14,000,000 DIVIDE BY 20 = 700,000/-@.
ReplyDeleteMdau unaesema unaweza kutoa hayo machogo msaada,unasubiri nini? Taifa hili la wadanganyika linahitaji watu kama wewe,Au ni mbwembwe tu za kwenye blogu humu.
ReplyDeleteWana approx moja ni $700. Huwezi bisha kwani hujuhi wamenunua wapi lakini kwa hiyo bei unaweza pata laptop nzuri tu. I am hoping kama unanua nyingi hivyo you can definitely save and get some for less than the price tag.
ReplyDeleteNyie mliotoa maoni hapo juu nyambafu kabisa,hivi kama huna hela njaa inakuuma,then msamalia mwema akatoa chakula,unaweza kuchagua chakula?
ReplyDeleteMi nadhani kuwa na kitu na bora kuliko kama hauna kabisa.Kompyuta ni computer tu,vitu ambavyo flat screen or laptop inavyo basi zote zinavyo.
Pili shule nyingi hazina computer,i think kompyuta ni kompyuta tu ,ukitaka latest version tumia hela zako mwenyewe.
HUYU MICHUZ VP BLOG NZIMA KAJAZA MAPICHA YAKE USHAMBA HUO JAMAN TUELIMIKE!
ReplyDelete