Meneja Matangazo na Promosheni wa Tigo, Redemptus Masanja (kushoto) akikabidhi zawadi ya jezi ya timu ya Chelsea kwa Godfrey Raymond, mmoja wa washindi wa promosheni ya Tigo ya Shangwe Kispoti jijini Dar leo
Ofisa Uhusiano wa Tigo, Jackson Mmbando (kulia) akikabidhi zawadi ya jezi ya timu ya Arsenal kwa Adam Kimario, mmoja wa washindi wa promosheni ya Tigo ya Shangwe Kispoti jijini Dar leo
Washindi wan promosheni ya Tigo ya Shangwe Kispoti, Adam Kimario (kushoto) na Godfrey Raymond wakionyesha zawadi zao za jezi za timu wanazozishabikia mara baada ya kukabidhiwa jijini Dar leo

Ili kushiriki kwenye promosheni hii mteja alikaribishwa kupitia ujumbe mfupi kushiriki kwa kutuma neno jezi kwenda namba 15519 kisha alianza kupokea majina ya Timu kama vile MANU, Arsenal, Liverpool, Chelsea na alijichagulia jina la timu na kuanza kupokea masali yanayohusu timu hiyo

mteja alipojibu maswali hayo kila alipojibu kwa usahihi alijipotia pointi, kila jibu alilojibu gharama yake ni shilingi 200 na alitakiwa kufikisha pointi 6000 ndipo ajishindie JEZI hii original

leo hii ninaomba niwatangazie wateja wetu kuwa bado kuna promosheni nyingine mpya inakuja hivyo wajianda kushiriki a kushinda zawadi kabambe








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. That is despicable, morally contemptible and extremely deplorable. How on earth a country millions miles away giving gifts of other country's team shirts, and not those of SIMBA and YANGA for example! I would have understood it if those team sponsored it! A thing I doubt hundred times. Let us start to look at our teams. I guess that is why we don't do good in international football arenas, we have developed a culture of liking/loving foreign teams, especially those of England and forget about ours.

    ReplyDelete
  2. Kweli nyani haoni....! Wewe mtoa maoni wa jumanne 11:52 mbona umeamua kutumia lugha ya hizo hizo timu kutoa maoni yako, kwanini hutumii lugha yako ya taifa ambayo ndio Simba na Yanga zinatoka ?

    ReplyDelete
  3. Sioni vibaya mtu kuchagua kitu anachokipenda(timu) iwe urope au afrika. Mie hivi vipromotion vingine havijanikalia sawa.....image utume message mpaka ufike point 6000,kila sms shs 200, sio mnaniuzia hiyo fulana? kwanini nispend muda wangu kwa jambo hili?...aaah yaaani tigo siwaelewi hii promotion, mnaboa! does not make sense at all, please think loud!!!

    ReplyDelete
  4. MCHANGIAJI HAPO JUU UNAONYESHA KIDOLE KIMOJA KWA WENZIO ANGALI VILIVYOBAKI VINAONYESHA KWAKO WEWE MWENYEWE UMEONYESHA UTUMWA AU UDHAIFU KWA KUTUMIA LUNGHA AMBOYO SI YETU YAANI KISWAHILI,,PIA UMEONYESHA PIA UNA MAPENZI NA LUGHA YA WAINGEREZA,,UMECHANGIA VIZURI SANA LAKINI PIA UMEONYESHA UDHAIFU,,CHA MUHIMU NI KUIGA VITU VYA MSINGI NA KUPUUZIA VISIVYOLETA MAENDELEAO KWA TAIFA LETU..

    ReplyDelete
  5. mdau wa pili kula tano!!!!

    mdau wa kwanza nakubaliana nawe ila nawe ni mmoja kati ya hao uliowasema!! thamini lugha yako!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...