Ili kushiriki kwenye promosheni hii mteja alikaribishwa kupitia ujumbe mfupi kushiriki kwa kutuma neno jezi kwenda namba 15519 kisha alianza kupokea majina ya Timu kama vile MANU, Arsenal, Liverpool, Chelsea na alijichagulia jina la timu na kuanza kupokea masali yanayohusu timu hiyo
mteja alipojibu maswali hayo kila alipojibu kwa usahihi alijipotia pointi, kila jibu alilojibu gharama yake ni shilingi 200 na alitakiwa kufikisha pointi 6000 ndipo ajishindie JEZI hii original
leo hii ninaomba niwatangazie wateja wetu kuwa bado kuna promosheni nyingine mpya inakuja hivyo wajianda kushiriki a kushinda zawadi kabambe


That is despicable, morally contemptible and extremely deplorable. How on earth a country millions miles away giving gifts of other country's team shirts, and not those of SIMBA and YANGA for example! I would have understood it if those team sponsored it! A thing I doubt hundred times. Let us start to look at our teams. I guess that is why we don't do good in international football arenas, we have developed a culture of liking/loving foreign teams, especially those of England and forget about ours.
ReplyDeleteKweli nyani haoni....! Wewe mtoa maoni wa jumanne 11:52 mbona umeamua kutumia lugha ya hizo hizo timu kutoa maoni yako, kwanini hutumii lugha yako ya taifa ambayo ndio Simba na Yanga zinatoka ?
ReplyDeleteSioni vibaya mtu kuchagua kitu anachokipenda(timu) iwe urope au afrika. Mie hivi vipromotion vingine havijanikalia sawa.....image utume message mpaka ufike point 6000,kila sms shs 200, sio mnaniuzia hiyo fulana? kwanini nispend muda wangu kwa jambo hili?...aaah yaaani tigo siwaelewi hii promotion, mnaboa! does not make sense at all, please think loud!!!
ReplyDeleteMCHANGIAJI HAPO JUU UNAONYESHA KIDOLE KIMOJA KWA WENZIO ANGALI VILIVYOBAKI VINAONYESHA KWAKO WEWE MWENYEWE UMEONYESHA UTUMWA AU UDHAIFU KWA KUTUMIA LUNGHA AMBOYO SI YETU YAANI KISWAHILI,,PIA UMEONYESHA PIA UNA MAPENZI NA LUGHA YA WAINGEREZA,,UMECHANGIA VIZURI SANA LAKINI PIA UMEONYESHA UDHAIFU,,CHA MUHIMU NI KUIGA VITU VYA MSINGI NA KUPUUZIA VISIVYOLETA MAENDELEAO KWA TAIFA LETU..
ReplyDeletemdau wa pili kula tano!!!!
ReplyDeletemdau wa kwanza nakubaliana nawe ila nawe ni mmoja kati ya hao uliowasema!! thamini lugha yako!!