Jiunge na Vodacom Tanzania sasa hivi na uongee chini ya robo shilingi kila unapojiunga na CHEKA TIME ya Tsh 200 au Tsh 500. Kujiunga na CHEKA ya Tsh 200, piga *147*05# na kwa kujiunga na CHEKA ya Tsh 500, piga *147*07# na uongee siku nzima isipokuwa kuanzia saa 11 jioni hadi saa 4 usiku kila siku Jumatatu hadi Jumapili na siku za sikukuu.CHEKA TIME: ONGEA CHINI YA ROBO SHILINGI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Vodacom,
    Why is it that Cheka 500 and cheka 200 does not work. it is a week now every time i try to subscribe it does not work.

    ReplyDelete
  2. Checka nusu shiling ni kiasi gani maaana sasa walaji mnatujali

    ReplyDelete
  3. Vodacom mnatuibia CHEKA ya 200 na 500 haipatikani mnatuambia tujiunge na ya elfu 2 au elfu 5 wizi mtupu tumewashitukia tutabaki na Tigo ndio mambo yote. Najua Michuzi utabana ila Habari ndio Hiyo

    ReplyDelete
  4. """""""uongee siku nzima isipokuwa kuanzia saa 11 jioni hadi saa 4""""""

    Acheni fix... hiyo siyo siku nzima.. Tigo thumni ni mambo yote!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...