Kwa video hii na nyingine kibao

BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. michuzi angalia vitu vya kuweka kwenye hii blog yako sio unajiwekea tu chochote na mchezo wako wa kuwafanyia interview sehemu yoyote ile siku vizuri

    ni bora tafuta sehemu maalumu ya kuwaita watu interview sasa hapo unatusikilizisha nini? hayo makelele?

    makelele kama sokoni kariakoo alafu unatuwekea tusikie nini sasa

    weka ujumbe huo na hata usipoweka ushakufikia

    ReplyDelete
  2. Mambo hayo, Aisee, nampenda sana huyu binti. sasa arudi nyumbani, ulaya hakumfai tena.

    ReplyDelete
  3. Its true Sporah Wabongo wengi tunaogopa kutake risk nabaadala yake tunafuatiliza kitu ambacho tunaona watu wanafanya vizuri na kusahau kwamba kila mtu anariziki yake.

    Hii ni massage nzuri sana Spora, Tunatakiwa kuwa RISK TAKER, thats the only way tunaweza kuendelea na sio kukopiana tu biashara.

    Hapa bongo sasaivi kila mtu anaenda China kununua nguo,wenye business mind na wasio na business mind, yaani hata wameondoa maana ya biashara ya China.
    Vijana wote wanataka kuimba kuwa kama AY au Lady Jay D, JAMANI TUTAFIKA?
    niviziri watu mjaribu kuangalia what is good for you na sio kwasababu rafiki yako au jirani yako anafanya.
    Good meseji Spora, Karibu Sana Tanzania.

    ReplyDelete
  4. MISS -
    MS -
    MRS -
    NON -
    -

    Kaka michuzi maswali ya relatioship ni muhimu sana hasa kwa Warembo kama hawa.

    ReplyDelete
  5. sio kudestroy the young generation like those of Lady Gaga.
    Ajue kwamba yeye ni Inspiration kwa Tanzanian young women.

    ReplyDelete
  6. Du Mtoto Kichwa huyu, napenda anavojibu maswali yake..
    Tungepata kina dada kama hawa wawili watatu!!!
    Sio lakini lazima wote watoke Uchagani.

    ReplyDelete
  7. Thats my girl, go girl, go girl, go girl, go girl.
    We love you Sporah, Keep up girl.

    ReplyDelete
  8. Good interview.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 01, 2010

    Huwa wanaanza na viingereza halafu wanakwama, wanarudi kwenye vya kwetu. Bado Kigogo...

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 01, 2010

    Jamani ee, kwani Kariakoo nyie mnakuonaje kuonaje? Maana kila kitu kibaya reference point ni Kariakoo, Kariakoo! Hivi mmeshaenda Kariakoo siku za karibuni? Kwa taarifa yenu Kariakoo ile ya zamani sio ile ya siku hizi. Siku hizi Kariakoo kumependeza! Vikwangua anga kila kona!

    Hembu mtuache na kariakoo yetu. Muanze kusema ... kama mjini, au kama Masaki etc, etc.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 01, 2010

    Oyaa mwana, hii ni blog ya jamii bwana na wanajamii ndio sisi, tupo kila kona. Michuzi sio mtu wa ndani ya mashangingi, jamaa yupo fiti na bado anajichanganya tu, yupo tayari popote na kwa chochote au sio mkunduguyangu. Ushanielewa, kama vipi tambaa kwenye blog za watoto wa kuku kwa wingi. Michuzi, wewe kandamiza tu mwanangu, waache waseme na usiku watabonyee..watabonyea

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 01, 2010

    Nakubaliana na Binti kwa kuweza kutambua kipaji alichonacho na kukifanyia kazi ipasavyo. Wengi wetu huwa tunashindwa kufanya yale ambayo tungeweza kufanya na kutuweka katika pazuri kutokana na sababu nyingi hasa ikiwemo hisia za kutofanikiwa.

    Hata hivyo, hebu jamani ninyi watanzania mliopo ughaibuni kama huyu Binti mjaribu pengine kupunguza kuathiriwa na mzaingira na kasumba ya kimagharibi kwa kupenda sana kutuchangayia lugha (Kiswangilishi). Kama ulizaliwa Tanzania, ukakulia Tanzania, kwa nini msiipende na kuiendeleza lugha yetu ya Kiswahili??? Hivi, kuna Mchina, Mjapan, Mwarabu nk ambaye akihojiwa kwa lugha ya kwao anaweza kuwa anachanganya lugha kama sisi "waswahili"???

    Tujifunze na tulazimike sasa kuona lugha yetu ya Kiswahili ni bora jamani, ni aibu kwa mataifa mengine kutuona tunaongeza kama waigizaji (eti hatujui lugha yetu kwa sanaaa ila kizungu ndo chenyewe) japo pia hata kizungu tunachapia au kuongea kwa kubana pua ili tuwe wazungu zaidi..ni aibu!.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 01, 2010

    Shida ya "UKANUMBA" (Kanumbalist) ni kupenda sana kuonekana bora ukiongea kithungu kuliko kiswahili.???.

    Sasa ukiwa kule kwenu uchaggazi na haya mambo ya "YOU KNOW,...MMMH..You Know!!. utakuwa hujaisaidia lugha yetu ya Kiswahili wala Kichagga pia.

    Jaribu pia kusaidia kukuza kiswahili chetu, achana na hzo kasumba za kuendekeza kiingereza sisi hatukuelewi mwana kwetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...