Home
Unlabelled
Ngorongoro Heroes yaitungua Malawi 3-1 na kufuzu kucheza kombe la mataifa ya afrika kwa vijana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Is Ngorongoro Heroes any different from Serengeti Boys? Kindly Explain!
ReplyDeleteIt's a good thing that they did, beating Malawi that is. Facilitations!
Kama sijakosea Serengeti ni U-17 na Ngorongoro ni U-20.
ReplyDeleteHEKO!
Ngorongoro Heroes is the Youth national team whose players are aging under-20
ReplyDeleteWHILE
the Serengeti Boys is the youth national team whose players are aging under-17.
NDUGU WAHUSIKA MIMI NAPENDA KUTOA ONYO KUHUSU UZIO (fence) HAPO JUU ZIMEKA KINOMA SANA.HII NI HATARI SANA IKITOKEA FUJO ISIJE IKATOKEA KAMA HILLSBOROGH soma hapa .
ReplyDeleteHongera vijana wetu, kazeni buti kwa safari bado ni ndefu sana.
ReplyDeleteAnkal tunashukuru kwa hizi habari za picha ambazo kwa kawaida huleta kutoka katika viwanja vyetu. Ni more reliable kuliko kurasa na michezo za magazeti yetu.
picha ya kwanza hilo bango la biashara or whatever lilitakiwa liwe nje ya uwanja. Wabongo akili zipo wapi?
ReplyDeletembona uwanjani mashabiki ni wachache?
ReplyDeletewatanzania lazima tujifunze kusupport wachezaji. sioni haja ya watu kuingia bure uwanjani, kwa nini hata kama hamna pesa ya kutosha walipe kiasi fulani nafuu japo kuchangia gharama za kuutunza uwanja? hiyo tabia ya BURE...bure inanikela. pay something. and anything makes a difference. fikra za kutaka vya bure haziishii hapo kesho mkiwa viongozi mnaishia kuomba hata vitu ambavyo mnaweza kufanya wenyewe.