Home
Unlabelled
mambo ya GADO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sure thing! Blame me for the Weather!
ReplyDeleteI like the cartoon.. very funny indeed.
ReplyDeletemawazo bora na mchoro bora ndio katuni inavyotaka, ,u r the best kaka ila hama liverfool!gugu
ReplyDeleteWee subili hao Al-qaeda huko kwenye hayo mshimo ya tora bora mavolcamo yaanze kulipuka! Watashaaa!!!
ReplyDeletehahahahahahaha. Ebwana eeh jamaa yupo Smart kishenz.
ReplyDeleteJana nilisikia sheikh mmoja wa kule IRAN analaumu wanawake kwa tetemeko la ardhi.Eti wanawake wanaovaa kwa kwenda na wakati(kinyume na maadili ya kiislam) ndo chanzo cha tetemeko la ardhi lililotokea huko Iran hivi juzi.Dunia hii.
hakuna mwingine kama gado. hivi anafanya kazi na gazeti gani hapo tanzania. nina zipenda sana cartoons zake.
ReplyDeleteya leo kali,hi hih hih je maisha magumu tanzania tuite nini ukikwete au ukapa?
ReplyDelete