Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Sure thing! Blame me for the Weather!

    ReplyDelete
  2. I like the cartoon.. very funny indeed.

    ReplyDelete
  3. mawazo bora na mchoro bora ndio katuni inavyotaka, ,u r the best kaka ila hama liverfool!gugu

    ReplyDelete
  4. Wee subili hao Al-qaeda huko kwenye hayo mshimo ya tora bora mavolcamo yaanze kulipuka! Watashaaa!!!

    ReplyDelete
  5. hahahahahahaha. Ebwana eeh jamaa yupo Smart kishenz.
    Jana nilisikia sheikh mmoja wa kule IRAN analaumu wanawake kwa tetemeko la ardhi.Eti wanawake wanaovaa kwa kwenda na wakati(kinyume na maadili ya kiislam) ndo chanzo cha tetemeko la ardhi lililotokea huko Iran hivi juzi.Dunia hii.

    ReplyDelete
  6. hakuna mwingine kama gado. hivi anafanya kazi na gazeti gani hapo tanzania. nina zipenda sana cartoons zake.

    ReplyDelete
  7. ya leo kali,hi hih hih je maisha magumu tanzania tuite nini ukikwete au ukapa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...