Mkurugenzi wa Uanachama na Uendeshaji wa mfuko wa Bima ya Afya, Hamis Mdee akifafanua jambo wakati wa semina iliyoandaliwa kwa ajili ya wachora katuni na wapiga picha, iliyofanyika Dar es Salaam, leo. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Bima ya Afya, Emmanuel Humba. Washiriki wa semina ya Mfuko wa Bima ya Afya wakimsikiliza mtoa mada, Rehani Athumani (hayupo pichani) wakati wa semina iliyowashirikisha wachoraji katuni na wapiga picha kwenye ukumbi wa baraza la Maaskofu, Kurasini, Dar es Salaam, leo
Wapiga picha katika picha ya pamoja baada ya semina elekezi ya NHIF
Wachora katuni wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya semina iliyowashirikisha Wapiga picha na Wachora Katuni iliyoandaliwa na Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) na kufanyika katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu jijini Dar leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Alaah! Hivi kuwa mchoraji katuni mzuri lazima na wewe sura yako iwe kama katuni! hahahahaha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...