Piga kura kwa msanii/bendi uipendayo kwa SMS! SMS namba maalum (code number) iliyo pembeni ya jina la msanii/bendi kwenda namba 15723. kwa mfano WIMBO BORA WA AFRICA MASHARIKI: KIDUMU - UMENIKOSEA unaandika KILI Q 37 na unatuma kwenda namba 15723 Au unaweza kuchagua msanii mmoja katika kila kikundi cha wasanii waliopendekezwa, kwa kubonyeza alama pembeni ya jina lake na kubonyeza Vote katika tovuti ya

www.kilitime.co.tz/awards/2009/nominees_2007.php

Wanaotaka kutuma kupitia posta, andika jina lako, anwani na utume fomu kutoka magazetini kwa njia ya posta kwenda:
KTMA 2010,
C/O Deloitte Consulting Limited,
P.O. Box 1559,
Dar es Salaam,
Tanzania.


Ukipenda, tuma kura yako kwa barua pepe kwenda ktma2010@deloitte.co.tz

Kamati iliyo huru itakusanya na kuhakikisha kura zote zinahesabiwa.
Mpigie kura msanii wako sasa!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. muda wa kupiga kura ashafika sasa, changamkeni wapiga kura TBL wanaitaji sana mchango wenu kwa hali na mali,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...