Nakuchukua fursa hii kuwataarifu Watanzania waishio Reading ya kuwa kutakuwa na mkutano mkuu wa kuwachagua viongozi wa jumuiya yetu hapa Reading tarehe 25/04/2010 ,kwa yoyote yule atakayependa kuwania nafasi basi unatakiwa kujaza form iliyopo kwenye kiambanishi na kuirudisha kabla ya tarehe 20/04/2010.
Upatapo ujumbe huu basi mjulishe na mwenzako.Form zirudishe kwenye email ya Jumuiya na kama unamaswali yoyote yale basi usisite kuwasilaina na sisi.
NAFASI ZA KUGOMBEA
NGAZI YA JUU
1:Mwenyekiti
2:Makamu Mwenyekiti
3:Katibu4:Katibu Msaidizi
5:Mtunza Hazina
WAJUMBE
Nafasi Tano za wajumbe
UKUMBI :TUTAWAJULISHA
MUDA:SAA NANE MCHANA(ZINGATIENI MUDA)
TAREHE:25.04.2010
--
--
Jumuiya Ya Watanzania Reading-UK
Na nyie huko mbona mna kazi au mna muda mwingi on hands? Si juzi tu mmetoka kwenye uchaguzi wa diaspora (TZUK) sasa tena uchaguzi wa Reading ndio nini? Ina maana umoja wa TZUK hautoshi mpaka muweke tena wa vitongoji vyenu? Ohhhh MY.....
ReplyDeletewamezoea vyama vya siasa hawa!
ReplyDelete