Baadhi ya viongozi wa Bonite wakiwa katika meza kuu kutoka Shoto meneja Uajili Dominic Urasa,Meneja tawi la Arusha, Mongola Segule, Meneja wa fedha Gi
Uiso akinywa coca cola baada ya kuwaambia watu waliofika kwenye hafla hiyo kuwa mbali na zawadi pia utaendelea kuburudika
Dixon Busagaga wa Blog ya Jamii Moshi akiwa ameshika jembe akijiandaa kwa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa promosheni.
Meneja Masoko kiwanda cha Bonite Gilbert Uiso akisoma majina ya washindi wa Tiketi na TV katika Promosheni ya Kwea Pipa na ushinde.
Meneja uajili wa kiwanda cha Bonite Dominick Urasa akimkabidhi mmoja kati ya washindi wa zawadi ya TV katika promosheni ya Kwea pipa na ushinde inayoendeshwa na cokacola.


Hii inanifanya niogope kurudi bongo. Ni kuwa wanawake hawaqualify, hawapandishwi vyeo au hamna anayeomba kazi. Naona mashirika mengi maboss wao wote wanakua wanaume.
ReplyDeleteHii imekaa vipi. Itabidi tuijadili hii kiundani. Hao watu wakienda kwenye mikutano ya diaspora huwa wanaongea nini kuhusu ajira kwa mwanamke Tanzania?
Uisso hongera sana kwa bidii zako za kuishirikisha jamii katika masuala ya maendeleo kwa kupitia mfumo wa masoko/biashara.
ReplyDeleteTunakukumbuka sana enzi za Mashindano ya volleyball ya Bonite(TAVA) pale hindu mandal, Moshi. je mna mpango wowote kama Bonite kuyarudisha mashindano hayo yaliyokuwa maarufu sana kwa Tanzania, Kenya, Uganda,Zambia, malawi??