Home
Unlabelled
ana kwa ana na abdallah mrisho wa libeneke la global publishers
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Globalpublishertz mmeharibu raha zetu wasomaji wa magazeti yenu ughaibuni.
ReplyDeleteMaana zamani kabla hamjabadilisha webusaiti yenu, ilikuwa rahisi sana kuingia na kusoma magazeti yenu.
Sasa kwa mfumo mpya ya dot-ning na saini-ini imekuwa taaaaabu, maana habari za Udaku mtakuwa 'serious' kihivyo kwa kututaka kufuata hatua lukuki kabla ya kusoma, rudisheni mfumo wa zamani ambao ulikuwa 'customer-friendly' kwa wapenda habari za udaku.
Si mnaona hapa ktk globu ya jamii mambo 'customer-friendly' kwa saaana na wasomaji ya globu ya jamii hatuhitaji kashkash kama tupo ktk chumba cha mtihani wa teknohama.
Mdau
Honolulu, Visiwani Pasifiki.
Kama biashara ya magazeti haiaribiwi mnaweka p/word ya nii kwenye blog yenu, mbona michuzi haweki? kwa ushauri wangu naomba mfunge blog mbaki na udaku wenu huko bongo.
ReplyDelete