Globu ya Jamii inampongeza Mzee wa Nondozzzz Ernest Makulilo kwa kumeremeta na mai waifu wake Marie Mowery May 1st, 2010 katika kanisa la Kumbukukumbu ya Mtakatifu Yosefu Mfanyakazi huko San Diego, California, Marekani - Kanisa Katoliki la Immakulata
Bwana na Bibi Harusi baada ya kumeremeta
Ni furaha ilioje kumeremeta
Maharusi na mapadre waliowameremeteshaMambo mengine ya makulilo
bofya katika linki hizo chini:
http://www.facebook.com/album.php?aid=431040&id=623205200&l=2688b56a6b
www.makulilo.blogspot.com
www.scholarshipnetwork.ning.com
www.makulilo.blogspot.com
www.scholarshipnetwork.ning.com



Hongera Ernest kwa harusi nzuri kabisa. Harusi za kanisani zinapendeza!!!!!
ReplyDeletemambo ya makaratasi hayo!!Ongera baba Age doesn't matter watu twataka kubaki marekani!!lol
ReplyDeleteVIPI HUYU MZEE MAKARATASI YAKE YAMEKAAJE? NIMEULIZA KWA NIA NJEMA TUU KUNA KAUTAFITI KASIKO RASMI NAKAFANYA
ReplyDeleteHongereni sana. Mmependeza. Mungu awabariki.
ReplyDeleteHili ni Karatasi au ya Kiukweliiiiiiiiii .Ikiwa ni katarasi utakwenda moto mmbaya wewe(unacheza na mungu kanisani)!!!!!!!!!!
ReplyDeleteHivii ni harusi kweli au maigizo?
ReplyDeletembona sioni wapambe hata hao anaowapungia mkono hawaonekani mmmhhhhh anyway tuwaachie wenyewe.
Ila hongera mzee kwa kuopoa kitu WHITE najua siku ukishuka nae KG watakukoma.
mnaowaponda wadada wanakimbilia vizee vya kizungu kujikimu kimaisha..ongeeni sasa
ReplyDeleteHali gani kaka Michuzi...Naomba utuwekee e-mail address yako hapa.Natanguliza shukrani.
ReplyDeleteMdau Roma.
Kuna ma-chubbies wana bahati humu duniani. Nahisi Bi. Mkubwa hakuamini macho yake. Hongereni sana sana. Nawatakieni maisha mema ya ndoa yenye furaha. Cha msingi ni Upendo na si kusikiliza maneno ya watu.
ReplyDeletehongereni sana !! bwana harusi hakupitia kwa kinyozi jamani loooooo
ReplyDeletewamependeza maharusi hongera karibuni katika maisha ya ndoa.
ReplyDeleteHongereni sana jamani!!! mmependeza sana na pia picha ni nzuri saaaaaaaaana!! mpicha piga wenu ni mzuri!!!(mpiga picha)
ReplyDeleteWamependeza kweli kweli.. Hongereni sana!!
ReplyDeletehongera sana kwa kumeremeta mmependeza sana mtunze mkeo kama mboni ya jicho lako, amen
ReplyDeletehongera sana kaka makulilo hii iko powa sana..,
ReplyDeletekaratasi???! O.O
ReplyDeletejamaa angepiga hata hair cut ya kiaina basi, si unajua mambo ya kung'arisha.
ReplyDeleteWazee wa mwanamke walifanya mgomo na kuingia mitini?
ReplyDeleteWazee wa mwanamke walifanya mgomo na kuingia mitini?
ReplyDeleteMAKARATASI AU???
ReplyDeleteJAMANI HII ILIKUWA HARUSI YA KUTAFUTA MAKARATASI?VIBALI VYA KUISHI?MBONA HAKUNA WATU WAKO WATU WANNE TU?
ReplyDeleteHongera mzee wa nondozzzzzzzzzzz
ReplyDeleteKaribu katika Club.
Kila la kheri na mafanikio.
Mdau MJ
USA
Hongera mdau Makulilo,at least ww umeoa mtoto bomba wa kitasha kuliko wengine huwa wanaoa "rejects" za wazungu,i mean pipa la kitasha.
ReplyDeletehongera sana mumependeza,Infwact ur wife ni very attractive sana.
Pongezi kwako Ernest na Marie kwa kuamua jambo lilo sahihi ktk maisha, Mungu awajaze furaha ktk maisha yenu.
ReplyDelete1. Makaratasi.
ReplyDelete2. Age ain't nothing but a number.
3. Bwana harusi mpaka inabidi atafute hair styles zinazomfanya aonekane mkubwa. Hii ni pamoja na kutonyoa ndevu.
4. Maisha Mema ya ndoa. Alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe.
5. Hakukuwa na wageni waalikwa? Mbona kama ilikuwa kimya kimya?
Is this for really, or for papers..??. It doesnt look like the one for really, teheee teheeee.
ReplyDeleteGood luck.
Hongera! Mungu awabariki! Zaeni matunda mema! Ona nyuso zenu za furaha!
ReplyDeletekaka jiandae makaratasi hayoooooo yanakusubiri!! wewe tu!!! ushakuwa mmarekani wewe. bora kaka umeona njia ya maisha, bongonyoso hapa noma hakukaliki maralia, vumbi, maji ya shida, umeme wa shida mgao, baa za pombe kila kona,maji hayana viwango, bidhaa zisizofaa kwa binadamu kutoka south afrika na china hapa ndo dampo lake, rushwa kila kona, wizi, ujambazi, ukikaa baa unajiuliza jamaa wanaokuja na bastola kukusanya pesa na simu zenu watafika mda gani, michango ya harusi, kipaimara, birthday ndio fasheni inamaliza hela zote za mshahara, usafiri balaa kimara posta masaa matatu, joto kwenye daradara, viongozi longolongo na vitisho kibao, yani basi taabu kwelikweli. na mimi nafikiria kutia timu states nikifika huko lazima nitafute mmama nimpe za kibongobongo hadi aniambie twende kanisani unioe sikuachi. t'will take time to get those papers but eventually i'm gonna clinch'em.
ReplyDeletehongera sana man, hope ya'll still flooding those scholarship opportunites to us!!
eeeeeeeh mambo ya ma paper hayo mwana wane...lol,hongera kaka
ReplyDeletekumbe huyu jamaa alikua hajaoa
ReplyDeleteHongera Sana Makulilo, mlete mama nyumbani, mpeleke kijiji akachote maji kidogo na kutwanga kwa kinu, ili mwili wake upate Aficanization, vinginevyo maisha yawe huko huko, maana kwa uzoefu, bila Africanization, it doesn't work back home.
ReplyDeleteHongera Sana.
Mdau Pascal.
Mhhhhh, nasikia harufu ya kutafuta makaratasi hapa.
ReplyDeleteHongera sana mdau Jr. Mungu awape furaha ya maisha. Endeleza libeneke kama kawa....mambo ya Nondozi usichoke, japo kuna ubize wa familia
ReplyDeleteUSA
Picha nzuri kweli za kupeleka uhamiaji. Haya makaratasi yatatuua si mwaka jana tu mwishoni ndio umeingia San diego. Lini umedate na kupata mchumba ndugu yangu? Duh hii kali....master inakaribia kuisha nini?
ReplyDeleteHongera sana ..
ReplyDeletehiyo picha ya pili bibi harusi alibidi ashangae huyu anampungia nani mkono?
Halafu anakua kama vile mbona mwenzangu anafuraha hivyo kupita kiasi?
Naona unasema bongo bye bye
Potluck wedding great kwa makaratasi
ReplyDeleteHongera
Makaratasi haya jamani harusi gani haina hata watu wapo wenyewe tu.Na mie natafuta babu la kizungu nipate hayo makaratasi lol.
ReplyDeleteHongera mzee mzima. Wengine hatuna bahati na watoto wa kibongo nadhani sababu zilikuwa ni hatuna pesa au mvuto kama wanaoutaka wao. Ni bora walale na makonda na wakija nje wapopo kuliko sisi.
ReplyDeleteNasisi inatulazimu kuatafuta love somewhere else, Hongera na tunakutakia maisha mema yenye furaha na mke atakeyekupenda na kukuheshimu
HIVI NYIE MUMEMUONA HUYO DADA NI KIZEE, NI MSICHANA MDOGO NA NI MDOGO KWA UMRI KWA MAKULLILO JUST FOR YOUR INFORMATION.
ReplyDeleteMsaada kwenye Tuta:
ReplyDelete'Wapopo' ndio maana yake nini? Na 'Makonda' kama ilivyotumika hapo juu na mchangia mada inamaanisha nini?
Tarehe Sat May 08, 08:12:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous
ReplyDeletekaka hapo juu umesema kweli kweli kabisa.Hata mimi nikipata kizee nafunga macho tu mzee!! Bongo jehanamu kaka asikuambie mtu tena kama ujasoma ndo unaweza kudata ndungu zako tu wanakukimbia!! bongo kwlei mwisho wa matatizo.Eh mungu niepushe hili balaa Nimpate hata mchina poa tu!! bongo kila kitu kibaya, nyumba mbaya ,chakula kibaya, usafiri mbaya,maji mabaya,shule mbaya , hositali mbaya,hali ya hewa mbaya, bara bara mbaya,yani kila kitu kibaya!!1
kaka harusi nzuri hila nazani hina mashaka kwa nini family za pande zote mbili hazikuwepo???? its not normal lazima kuna kitu nimeona picha zako kwenye facebook nzuri lakini still akuna ndugu!! ni ma classmates wako tu na ma lecture tuseme wewe una hata kaka ama dada !!duh kweli kuna kitu
ReplyDeleteMsimseme. Huyo mama kamzimia akiwa na hizo nywele na ndevu. Anamuona 'gorgeous' na hiyo look. Akikata ataharibu deal. Mama anawezabadili mawazo. Shikilia hapo hapo bro. Nywele na ndevu saizi hiyohiyo. Ndio ulevi wa mama huo. Usifuate ya watu watakuchanganya..
ReplyDeleteHongera sana Ernest.
ReplyDeletekumbe ulikua hujaoa?woooow
ReplyDeleteDUH..MDAU MAKULILO NAONA UMEFANYA KWELI,NAONA SASA UNA UHAKIKA NA MAKARATASI KAMA TULIVYOJIPANGA WAKATI UNAONDOKA BONGO...MIMI NAKUJA HUKO JUNE..KAMA VIPI NIUNGANISHIE NGOMA YEYOTE HATA KAMA AJUZA ILI MRADI NIHAME KABISA HUKU USHENZINI..HARUSI KAMA YAKO YA WATU WATANO FRESH TU....NAKUJA KAKA
ReplyDeleteMIXER
mimi hapa naangaika kila siku nipate mchumba huko ili niondokane na hizi rabsha za hapa bongo, mwaya hongera bwana ernest.
ReplyDeleteKuna mdau ameuliza maana ya Makonda na Wapopo.. ngoja nijaribu kukusaidia ninavyoelewa mimi.. 'Wapopo' ni Watu wa Afrika Magharibi sanasana Wanaijeria, Na 'Makonda' ni Kondakta wa mabasi sanasana daladala za bongo...
ReplyDeleteHivi jamani wa bongo tunatakiana heri au ni unafki tuu na maneno ya siyo na maana ndio tunajua.. kama anatafuta makaratasi ni kwa ajili ya maisha yake kama kampenda kweli ni kwa maisha yake pia kama ni shida zilizopo bongo zinatokana na ujinga wetu kama wengi wetu walivyotoa maoni ya kijinga yasiyo na mweleko nani anataka kwenda kuoa wanawake ambao macho yako juu kila kizuri anakitamani uaminifu hakuna kazi kuiga tu bila kujua kesho hongera kaka umempata mwenza wako mpende kama akupendavyo muwe na maisha mema..waache wapige kelele hao ndio wachawi wa mafanikio yako...
ReplyDeletemkataa kwao ni mtumwa hao wanaoiponda bongo wakati ndio chimbuko lao washamba na wajinga wa kutupwa mtu kwanini usijiproud na kwenu? ndo ninyi mambo yakiwanyookea mnawakataa mpaka wazazi wenu hovyoooooo !!!!!!oneni aibu makulilo kaja na mkewe hapa bongo na kaenda nae mpaka kwao kijijni na mtoto wa watu anayafurahia tu maisha mmekalia kupaponda kwenu mlikozaliwa ! badala ya kujadili mfanyeje na nyie watu wapatamani kwenu. HONGERA SAAAANAAAA KAKA MAKULILO MUNGU AKUTANGULIE KATIKA HILO .
ReplyDeleteHongera sana kaka..everytime I look at you I see myself in few yearz to come..hongera kwa shemeji yetu pia!!
ReplyDelete